Bashe: Fisadi proxy or Fisadi in waiting? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bashe: Fisadi proxy or Fisadi in waiting?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by DoubleOSeven, Mar 23, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  That H Bashe works for RA and in accordance with what the guy said in Dodoma lately (UVCCM thing) I am drawn into making an inference that this ethnic SOMALI is a man to watch closely. Like RA, his interests might be lying elsewhere and essentially far from the noble cause of doing any good for Tanzania. Against my principals, I am forced into the wilderness of passing thoughts on such axes as ethnic origins, parochially in thinking. These people do not belong and as such cannot, can never serve our interests save those of their mentors, RA, cohorts et al. Serving their motherland and Diaspora while at the helm of power in a ountry called Bongolala.
  Bashe could be a fisadi in making, a foreigner as is RA at the helm all over again.
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hoja yako ni ya msingi though umehiaribu kwa kuonyesha wewe ni racist (Sadist) sio vizuiri kum-attack Bashe kwa usomali wake its not profesional hata kidogo kuhingiza hoja za kikabila, kikanda ,Rangi katika isue za msingi zinazotugusa sisi watanzania,Nafikiri sio vizuri ktumia matatizo tuliyonayo kuhalalisha upuuzi wa watu fulani ,Simfahamu Bashe na sihitaji kumfahamu kwa sababu za Msingi ya kwamba tunahitikadi tofauti yeye ni mamluki wa mafisadi mi natangaza sera za CDM Lakini siwezi nikausisha mapungufu yake na usomali wake ,JF tunashidana kwa hoja sio ukabila,wala ukanda yote ni mipango ya mungu ndie muumba wa yote wazungu,waarabu ,wahindi,waafrica ni yeye ndie muweza ya yote.
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kwenye red kidogo umenifanya niweke breki..........not good broda he is one of us unless otherwise your walking Makamba's shoes

  By the way, just watch his movies and you will have a clear picture that he is just one of them....ndio maana kwa order ya RA baada ya kupotezewa kwenye kugombea ubunge, mkuu Ja-Kaya akaamua kumtuliza kwa kipoozeo
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  H Bashe is RA's dowgie to say the least.
   
 5. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... I agree entirely about the race card. That is why I admitted kwamba katika hii thread nitakuwa parochial.

  I am not RACIST. On the contrary, I embrace Tanzanians of all colours, creed, though in particular, WAZALENDO. Hapa ndo iko mambo. There are Tanzanians whose ethnic origins is not Tanzania and who are bent on ascending into POWER for interests that are not Tanzanian. They do not belong to this country. They continue to serve interests of their DIASPORA wherever that may be. Wapo wengi tu, ila kina RA na cohorts this time wameishika nchi pabaya na wana mikakati ya kuendeleza hayo. I believe kabisa and that is personal kwamba MTANZANIA HALISI hawezi kufanya hayo. Bashe looks Somali to me. After all yuko na kina RA. Ya RA mwayajua. Au yeye si Mu-IRAN?

  Watu wa aina hiyo hawana nia nzuri na hii nji. That speaks for itself.
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  huyu alikuwa declared kuwa sio raia na chama cake mwenyewe cha CCM lakini baada ya hapo ...hatujui kingine. Nakubali tunaongea hapa lakini kwa kiasi kikuba nchi imeshachukuliwa na watu 'wasio'. Inahitajika nguvu na si vinginevyo maana hawa mitandao ya siasa wanajua kuicheza. Kuanzia kamati za bunge mpaka wenyeviti wa vijiji mradi kuna interests zao.
   
 7. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Stop Xenophobia and racism. We're all Tanzanians regardless of the color of our skin
   
 8. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mtu mzima unaongea pumba, Bashe amefanya nini cha ajabu au umetumwa nini wewe, Fisadi ni wewe unayeanza kushambulia watu na kuwaita foreigner, hauna tofauti na Kina Chiligati
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  KWA KIPIMO CHA BUSARA ZA MZEE WARIOBA HAWA UVCCM KUPIGA VITA SAUTI HURU
  NDANI CCM NA LIAZIMA UFISADI UHAI MWINGINE TENA NDIO TUSEME
  WANAFIKIRI KAMA WAZEE ZAIDI AUI VIJANA KWA USAHIHI WAKE???


  Usemi moja wa Ki-China hutuambia kwamba hata safari ya umbali wa kilometa 6,000 sharti uanze na guu la kwanza. Sasa mpaka hivi sasa tunatakiwa kuuliza kama guu la kwanza la UVCCM limeelekezwa kuleta uhai mpya kwa chama chao au kukiua kabisa??

  Tunajiuliza hili kwa sababu hapo baadaye kidogo tungependa tuwe na CCM kama chama cha upinzani IMARA zaidi ya jinsi ndugu yake KANU kilivyo kule nchi jirani Kenya. Maendeleo ya nchi huwa yanapata msukumo bora zaidi ndani ya nchi ple kukiwepo chama imara cha upinzani hivyo binafsi nisingependa kuwa na idadi ya wabunge kama TLP NCCR-Mageuzi hivi sasa bungeni.

  Hata hivyo uamuzi na chaguo la ama kufanyia palizi zaidi na kunyunyizia maji na mbolea safi au kuung'oa kabisa UFISADI na mizizi yake yote ndani ya chama chao yote ni haki yao. Lakini tusisahau kwamba kila watakalolitenda litakua na faida au gharama kubwa kubwa sana kwao na kusaidia kuchonga sura halisi ya hatima yao.

  Kwa mfano kampeni za kung'oa sauti pinzani ndani ya CCM ni udhaifu wa mwaka kudiriki kufanya na kizazi cha Doti Kom ambao wanapashwa kuelewa fika kwamba katika ulimwengu wa sasa KILA KITU HUENDESHWA KIUSHINDANI IKIWAMO SIASA na kwamba ukibahatika kumpata wa kukukosoa kama Samuel Sitta, Mwakyembe na wengine wengi tu basi unapashwa ujihesabu ni mwenye bahati kubwa kuwa nanafasi zuri zaidi kuboresha uongozi wako kwa kutumia ukosoaji wao ule wa kujenga.

  Lakini kwa kuwa kumbe lenu ni kuwaangusha akina Sitta, Magufuli, Mwakyembe, Anna Kilango na wengine wengi tu na basi ujue wenzio majiranni kina TLP wanajiuliza utamaliza lini kukata tawi tegemeo la mti ulilolikalia??

  Mbali na vitabu vya dini kutufundisha kwamba mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, usemi ambalo UVCCM hawatokua mbali sana nalo hivi sasa, kinachonitia hofu zaidi kwa vijana wenzetu hawa ni kule kujidhihirisha ndani ya busara za Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwamba pindi utembeleapo kijiji fulani na ukakuta vijana mawazo yao hayana tofauti na mawazo ya wazee kijijini hapo basi moja kwa moja ujue kuna tatizo kubwa sana limejificha mahala.

  Je, katika hiki kijiji cha CCM wadau mnawatazama vipi hawa UVCCM na kule kupinga kwao sauti huru ndani ya chama chao??????????
   
 10. n

  ndutu Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naweza ku-feel hasira alizonazo aliyeanzisha thread unayoikosoa. Lately tumegundua kwamba hawa watu wenye rangi tofauti na yetu wamekuja hapa kwa lengo moja tu la kuja kuchuma na kutugombanisha halafu yao yakitimia wanaondoka. kwa jinsi nchi hii ilivyogeuzwa machimbo na hawa jamaa, I think he is justified and vindicated if he attacks this or that race. This is the surest and the most candid way of telling what other people have no balls to tell. I really see Bashe as a monster in the making and those in UVCCM, who rub shoulders with him, thinking that he means well for this country should watch their steps.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...