Bashe awapa somo mawaziri wa Magufuli

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,985
1,285
Akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenzi Bashe amesema nchi imepata rais mkweli na mwenye mapenzi ya dhati ya nchi yetu, lakini hiyo haimaanishi kuwa rais hakuwahi kufanya makosa au hakosei, kwasababu hiyo akawataka mawaziri wasimuogope rais badala yake wamshauri kwa maslahi ya taifa.

Tazama video

Jana bashe alitoa siri nzito sana,washauri wakuu wa rais hawamshauri,wamemwacha,wamekaa kimya,inabidi ajishauri mwenyewe......anawazuia wasimshauri?anaweka vikwazo kwa watu waliotakiwa kuongea naye kirafiki?hawaamini?anawakaripia kama watoto? Nashauri gepu aliloweka kati yake na mawaziri aliondoe....nimesoma gazeti moja anawatisha na kuwafokea.....haw
 
lakini hiyo haimaanishi kuwa rais hakuwahi kufanya makosa au hakosei, kwasababu hiyo akawataka mawaziri wasimuogope rais badala yake wamshauri kwa maslahi ya taifa.

hebu tujikumbushe kidogo makosa aliyofanya ndani ya miezi hii sita ... sukari, bomoabomoa, Zanzibar, lugumi, bunge live, from gpa to division, kumpandisha traffic cheo kiholela na kumuaibisha waziri wake,.... nimechoka kutype
 
The guy spoke like representative. Niko interested na majibu aliyopokea. Anyone?
Serikali inakosea kutunyima kuwasikiliza watu kama hawa though sometimes wakiongea akina dada Agnes wanatukwaza!
 
hebu tujikumbushe kidogo makosa aliyofanya ndani ya miezi hii sita ... sukari, bomoabomoa, Zanzibar, lugumi, tbc live, from gpa to division, kumpandisha traffic cheo kiholela na kumuaibisha waziri wake,.... nimechoka kutype
GPA to division nalo lilikuwa kosa mkuu?
 
Inahitaji moyo
 
hebu tujikumbushe kidogo makosa aliyofanya ndani ya miezi hii sita ... sukari, bomoabomoa, Zanzibar, lugumi, bunge live, from gpa to division, kumpandisha traffic cheo kiholela na kumuaibisha waziri wake,.... nimechoka kutype
"Nimechoka kutype"hilo kosa umemsingizia
 
Mbona aliwahi kuongoza nchi akiwa na Makamu wa Rais na katibu mkuu kiongozi mambo yakawa yanaenda vizuri tu - hakuna haja ya kuwa na waziri wanao muhujumu Rais kisa kapunguza maslahi na ufujaji wa fedha za umma bila huruma, mimi naona kipindi hiki cha sakata la sukari ndicho kipindi kizuri cha kuwatambua mawaziri na viongozi wanafiki ambao wanataka kumukwamisha JPJM, kama wanaona hawezi kufanya kazi chini yake waondoke watafute shughuli nyingine ya kufanya na sio wanaendelea kubaki Serikalini wakiwa na lengo la kumuyumbisha JPJM wakimpa ushauri wa kinafiki - Mbona Tanzania ina wasoni wengi wazalendo - JPJM afanye mabadiriko makubwa katika utehuzi wa nawaziri, awaondoe wote wananao tumiwa na wafanya biashara kumudanganya au kumtisha Rais eti akiwashughulikia wahujumu uchumi nchi itayumba!!! Unafiki mtupu.

Mh.Rais akiendelea kuwabakiza Mawaziri kwenye key posts ambazo ni life line ya maendeleo ya Taifa letu atabaki kuletewa cooked takwimu na mipango lukuki ya kufikirika na majigambo yasiyo na mantiki chunga sana Mawazari ambao kila saa wanakwambia wana muarobaini wa matatizo yetu, kujifanya cure all like panadol,kujifanya kila kitu wanajua lakini ukiwasikiliza kwa umakini mambo mengi wanachapia tu - wanawakwepa wasomi na watu wenye uzoefu wanawachukulia kama ni tishio kwao maneno mengi Bungeni lakini hawataki kukutana na wataalamu ofisini kwao wakawapa ushauri kwa maslahi ya Taifa, wengi wao ni waigizaji hawana uzalendo wa kweli kwa Taifa hili.

Mh.Rais nakukumbusha tena kwamba saga la Sukari ni mtihani tosha wa kuwapima Mawaziri wako na viongozi wengine kwenye vitengo nyeti Serikalini na Mashirika ya Umma - hilo tu linakutosha kukusadia kufanya tathimini ya viongozi wanao kuzunguka fanya reshuffle ya hali ya juu b4 its 2 late, husiogope lawama Watanzania wengi tunakuombea - nia yako ni safi na Muhumba wako hilo analijua - narudia kusema baadhi ya wateule wako ni waigizaji mahili wanajali maslahi binafsi sio ya Taifa usiwalazie damu.
 
Nafikiri baada ya firikunjombe,bashe ndio mbunge pekee wa ccm ambaye yuko tofauti
 
GPA to division nalo lilikuwa kosa mkuu?
Kuna wakati wa kutoa elimu hata kwa wanaotamka hizo GPA au Division kama wanaelewa maana yake, maana huyo dogo kusema JM kachemsha kwenye hii ni sheedar!!
 
Mbona aliwahi kuongoza nchi akiwa na Makamu wa Rais na katibu kiongozi mambo yakawa yanaenda vizuri tu - hakuna haja ya kuwa na waziri wanao muhujumu Rais kisa kapunguza maslahi na ufujaji wa fedha za umma bila huruma, mimi naona kipindi hiki cha sakata la sukari ndicho kipindi kizuri cha kuwatambua mawaziri na viongozi wanafiki ambao wanataka kumukwamisha JPJM, kama wanaona hawezi kufanya kazi chini yake waondoke watafute shughuli nyingine ya kufanya na sio wanaendelea kubaki Serikalini wakiwa na lengo la kumuyumbisha JPJM wakimpa ushauri wa kinafiki - Mbona Tanzania ina wasoni wengi wazalendo - JPJM afanye mabadiriko makubwa katika utehuzi wa nawaziri, awaondoe wote wananao tumiwa na wafanya biashara kumudanganya au kumtisha Rais eti akiwashughulikia wahujumu uchumi nchi itayumba!!! Unafiki mtupu.

Mh.Rais akiendelea kuwabakiza Mawaziri kwenye key posts ambazo ni life line ya maendeleo ya Taifa letu atabaki kuletewa cooked takwimu na mipango lukuki ya kufikirika na majigambo yasiyo na mantiki chunga sana Mawazari ambao kila saa wanakwambia wana muarobaini wa matatizo yetu, kujifanya cure all like panadol,kujifanya kila kitu wanajua lakini ukiwasikiliza kwa umakini mambo mengi wanachapia tu - wanawakwepa wasomi na watu wenye uzoefu wanawachukulia kama ni tishio kwao maneno mengi Bungeni lakini hawataki kukutana na wataalamu ofisini kwao wakawapa ushauri kwa maslahi ya Taifa, wengi wao ni waigizaji hawana uzalendo wa kweli kwa Taifa hili.

Mh.Rais nakukumbusha tena kwamba saga la Sukari ni mtihani tosha wa kuwapima Mawaziri wako na viongozi wengine kwenye vitengo nyeti Serikalini na Mashirika ya Umma - hilo tu linakutosha kukusadia kufanya tathimini ya viongozi wanao kuzunguka fanya reshuffle ya hali ya juu b4 its 2 late, husiogope lawama Watanzania wengi tunakuombea - nia yako ni safi na Muhumba wako hilo analijua - narudia kusema baadhi ya wateule wako ni waigizaji mahili wanajali maslahi binafsi sio ya Taifa usiwalazie damu.
Pumba tele
 
Kuna wakati wa kutoa elimu hata kwa wanaotamka hizo GPA au Division kama wanaelewa maana yake, maana huyo dogo kusema JM kachemsha kwenye hii ni sheedar!!
Anasumbuliwa na usumwi
Upungufu wa sukari mwilini
Akaweke foleni jioni watagawa ile ya mbagala buree
 
Back
Top Bottom