wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha
sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea wassira akuachie nafasi kweli....?? Niwapumbavu tu...
bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.