Huyu jamaa anaenda kuua kilimo kama hatodhibitiwa, hana future hata chembe na wakulima, huko jimbon kwake tu mpaka sasa wakulima wake tunalia! Mbolea uchwara kila siku na hazifiki Kwa wakati ama kuchelewa kabisaa..
Mdee Kauliza Hoja za msingi Yeye anakwepa kwepa.
Bila Soni Kuna 'Makalikonji' hapa wanamtetea wakidhan hayawahusu hovyooo!
Ni aibu na Matusi yasio na kifani Kwa kila Mwenye Akili timamu kuendelea kuongozwa na Kiongoz huyo' wa 'kisomali'
Adhibitiwe kabla ajatia aibu zaidi huko mbeleni hafai! hafai! hafai! kuwepo hata Kwa dakika Moja Mbele.
Sent from my Pixel 3a using
JamiiForums mobile app