Bashe amshukuru Rais Magufuli kwa kumteua

Ikiwa kuzungumza na utendaji vinaendana basi hii wizara imepata jembe
kweli kweli.
Mwenzako kapiga mdomo,kajipendekeza kapewa shavu anafanya maisha,anakula bata,mnakaa kusema jembe.wanasiasa wanahadaa wananchi sana aisee.kesho anatembelea v8 anakuambia ww mwananchi kua mzalendo 🤣🤣wkt yy anakula Ac tu
 
Unafiki UNALIPA!

Mzee pole sana, hiyo chuki iliyonayo ungeiwekeza hata kwenye kujenga mapyramid kama Yale ya Misri. Wallah tungekuwa na pyramid kubwa na refu zaidi kuliko yote duniani. Basi chakukusaidia Basi kufa tu. Maana dunia imekuwa chungu sana kwako mura!
 
Back
Top Bottom