Wivu tu wa kutojua KiEnglish, mwenzenu amesema."to walk the walk" nyie mnakuja na zenu?Walking the talk
Mwenzako kapiga mdomo,kajipendekeza kapewa shavu anafanya maisha,anakula bata,mnakaa kusema jembe.wanasiasa wanahadaa wananchi sana aisee.kesho anatembelea v8 anakuambia ww mwananchi kua mzalendo 🤣🤣wkt yy anakula Ac tuIkiwa kuzungumza na utendaji vinaendana basi hii wizara imepata jembe
kweli kweli.
Saizi si ndo walinzi wake?Wale usalama wa taifa aliosema wanataka kumteka sasa hawatajaribu tena!
Mbona bavicha ndo mnaongoza kwa unafiki mbowe na ngenge lake wanafisadi na kujikopesha magari ya chama achia mbali kukiuka katiba ya chama?Unafiki UNALIPA!
Unafiki UNALIPA!