Bashe amlipua Membe

Hata mi mwenyewe nashangaa hawa wasomali bongo wanafanya nini mimi siwapendi kweli kweli? msomali sio mtu ni wabaguzi balaa mi nimekaa nao sana hawa wa2 kenya wanajibagua vibaya hawataki hata wa2 wa kawaida kuoa binti zao japo wao wanawachukua binti zetu nasi hatusemi kitu. msomali sio mtu kama kuna uwezo huyu arudi tu kwao kenya au somalia,tanzania hatutaki wasomali hapa,ukiangalia wasomali wote waliokimbiliaga bongo miaka ile ya mwanzo ndio hao waliojishughulisha sana na uuaji wa tembo na kuchukua pembe za faru nyingi tu.hata wanyama hao wanavyokwisha nchini hiyo ni kazi ya wasomali na waarabu koko wa bongo.Wasomali inabidi warudi kwao hasa huyu Bashe mana huko kwao somalia mbantu hauwezi kushika nafasi yeyote ile tena wanatudharau sana sasa sisi mbona tunawapa nafasi hawa watutawale nchini kwetu sasa sisi tutatawala na kuringa wapi?? kwao hatutawali na tunadharauliwa kwetu wakija wanapewa hadi nyadhifa sasa sisi tutakuwa wageni wa nani? kama kwao wanatufanyia ubaya na sisi wakija kwetu inabidi tuwawekee ngumu mbaka wakome.INASIKITISHA SANA!!!!
 
Mbona anayemtuma anajulikana keshaona CCM haina ubavu kuwagusa sasa yeye atatanua zaidi km
Mkti JK hatamgusa Boss wake
 

Nu mmoja kati ya uzao wa Al- shabab. Ni kati ya Wasomali wanao tafuta Intri-mode ya kujipenyeza kwenye serikali (kama ilivyo kwa Majirani zetu), ili kupanua wigo wa Wasomali tusambaa maeneo mengine nje ya Somalia ambayo kwayo haikaliki tena. Hizi ni sera za hawa Wasomali kujitawanya duniani kote ili kueneza suma ya mifarakano maeneo mengine. Angalia hata hapa Tanzania, mahali palipo na hilo kabila la kisomali hali inakuwa tete. Angalia insi wanyama wetu wa asili wanavyo teketea kwa sababu ya hili kabila.

Sasa hivi sera zao ni kuhakikisha wanatumia kila njia ili wapate nafasi katika serikali hii, na hatimaye waweze kutengeneza mitandao ya kuingiza Wasomali zaidi nchini. Angalia Arusha jinsi ilivyo njia kuu ya kuwaingiza hao jamaa. na hii ni kwa sababu mmoja kati ya vigogo wa Nyinyiemu hutumia ukada wake kuwafanyia mipango ya kuwaingiza nchini.

Kama chama chake kilishasema sio raia ni kwa nini Wizara ya Mambo ya ndani haichukui hatua stahiki?
 
Hussein Bashe ni nani ndani ya CCM mpaka press conference yake ituumize kichwa?

Chama
Gongo la mboto DSM

bashe ni mfadhiri wa chama.kutokana na utajiri mkubwa aliyonao chama kina muhesabu kuwa ni mwanachama bora kuliko wanachama wengine. ndiyo maana anaweza kujifanyia chochote ndani ya chama na asichukuliwe hatua zozote.ukizingatia kuwa ccm ya sasa ni ya matajiri siyo ya wanyonge kama ile ya awali ambayo ilikuwa na uchungu wa nchi.ccm ya sasa imekuwa kama pango la wezi na wanyang'anyi.ukitaka mali yako ambayo hukuipata kihalali wewe jiunge na ccm.mali yako ya haram itumie kuifadhiri ccm,tafuta madaraka kwa kuhonga utapata n.k hapo mali yako yote itakuwa si haram tena itakuwa ya halali.wtz watapiga kerere wee wapi wewe utaendelea kupeta tu kwa nguvu ya chama.
 
Kipindi alichoambiwa sio raia alikuwa hajaanza kukifadhili chama nini? Basi akazane kufadhili chama ili 2015 agombee ubunge na wasimletee tena mizengwe. Na wana CCM na wakazi wa Nzega waukumbuke ufadhili wake. CCM ina cinema sana
 
Unajua siku zote wachawi lazima watatajana tu sisi yetu macho na masikio kwani lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja dogo bashe ni wengi wachemshaji ccm sasa endelea kutoa magamba kiaina.
 
Mtu anayefanya au kuongea maneno ya kutumwa na wengine au kwa maslahi ya wengine huwa nampuuza kwa kila jambo! Hapa Bashe katumwa tena na wafadhili wake! Nimempuuza kama kawaida yangu!
 
Hussein Bashe

BASHE ASEMA MEMBE ANAKIGAWA CHAMA, WAZEE WAJA JUU WASEMA HAKUNA KUGAWA MADARAKA, KAMPENI ZAPAMBA MOTO

VITA ya maneno ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto, baada ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu taifa, Hussein Bashe kumtuhumu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akisema ndiye anakivuruga chama hicho.

Mapambano hayo yanatokea wakati wanaCCM wanakutana mjini Dodoma kwa siku tatu katika mkutano wake mkuu, ambao utachagua viongozi wa kitaifa watakaokiongoza chama hicho pamoja na wajumbe wa Nec 10 kutoka Tanzania Bara na wengine kumi kutoka Zanzibar.

Bashe pia alimtuhumu Membe kuwa anawatumia vijana wawili ndani ya chama hicho kusambaza vipeperushi vya kumhujumu mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete na kumsingizia yeye na wenzake.

Kauli ya Bashe inakuja siku moja baada ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kutoka Mkoa wa Morogoro, Augustino Matefu kumtaja Bashe, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM taifa, Beno Malisa na kada wa chama hicho, Fredrick Lowassa, kuwa wanahusika kutawanya vipeperushi hivyo.

Vipeperushi hivyo, ambavyo vilitawanywa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma vilikuwa na ujumbe unaosomeka: “CCM inayumba, kwa pamoja tumpunguzie mzigo mheshimiwa Rais kwa kumvua kofia moja ya uenyekiti, nina imani kwa pamoja tutashinda, piga kura ya hapana kwake, CCM oyeeee.”

Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma, Bashe alikanusha taarifa hizo akisema kuwa hajawahi kufikiria kumpinga Rais Kikwete na kwamba maneno hayo ni uzushi juu yake.

“Lazima niwaambie kuwa hayo ni makundi yanayotengenezwa na baadhi ya watu, ili kunichafulia jina langu. Mwaka jana nilisema kuwa nitakuja kumtaja mtu huyo na leo namtaja kuwa ni Benard Membe, ndiye anayenisakama kupitia vijana wake,” alisema Bashe.

Alisema kuwa Membe kupitia kwa vijana wawili aliowataja kuwa ni Makonda na Matefu, alianza kumsakama tangu Aprili mwaka uliopita baada ya yeye (Bashe), kuteuliwa na UVCCM kuongoza kamati ya kutafuta maoni ya kuihuisha jumuiya hiyo.

“Kwanza lazima Watanzania wafahamu kuwa, Membe ni mwongo, asiyekuwa na msimamo wakati wote. Nilisema na leo nataka ujumbe umfikie na tayari nimeandika barua kwa Katibu Mkuu wa CCM kumjulisha hilo,” alisema Bashe.
Pia alimtuhumu waziri huyo kuwa amekuwa akiishi kwa kubebwa wakati wote akitoa mfano kuwa, mwaka 2005 alibebwa na Rostam Aziz kwa kumpatia gari lililomwezesha kwenda kuomba kura za ubunge na akapata.

Bashe pia alimtuhumu Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa ni mshirika wa Membe katika harakati hizo za kukichafua Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nyalandu
Hata hivyo, Nyalandu alipotakiwa kuzungumzia tuhuma hizo jana, alisema: “Waongo sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto kwa kibiriti.”
Membe

Alhamisi wiki hii, Membe alikaririwa na gazeti hili akisema kuwa kuna kundi la watu ndani ya chama hicho, linalofanya kampeni chafu dhidi yake, lakini akasema kwamba hujuma hiyo haitafanikiwa, badala yake atashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa Nec.
''Nakubaliana kabisa kwamba ziko njama za kunihujumu, ambazo hata mimi nazijua. Lakini wabaya wangu hao, wanafanya jambo ambalo hawalijui, kama wangejua wasingepoteza muda huo,'' alisema Membe.

Alijifananisha na mwembe, ambao hutupiwa mawe wakati wote kuliko mchongoma wenye miiba aliosema hauwezi kutupiwa mawe kwani hauna kitu cha kuchukua juu yake.

Wazee wanena

Baraza la Wazee wa CCM, Wilaya ya Dodoma Mjini jana walipinga kauli zinazotolewa na baadhi ya watu kutaka madaraka ya Mwenyekiti wa chama hicho taifa yatenganishwe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Balozi Job Lusinde, alisema kuwa siyo jambo la busara hata kidogo kutenganisha nafasi hizo.
Lusinde alisema kwamba ni vyema Rais akaachwa kuendelea na shughuli zake pamoja na kofia zote mbili kwa kuwa ndiyo msingi na kanuni za chama.

Nec Vijana
Kwa upande wao wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia kundi la vijana, walisema kuwa watamlinda kwa gharama yoyote Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete pamoja na kuhakikisha kuwa anapata kura zote za ‘ndiyo.’

Mbali na hilo, vijana hao walisema kuwa watafanya kila njia kumsaka mtu aliyetengeneza vipeperushi hivyo vinavyosambazwa dhidi ya mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete.
Wajumbe hao saba kati ya kumi waliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma na kutoa tamko hilo, huku wakieleza kuwa hawatalala hadi watakapoona mwenyekiti wao akiibuka na ushindi wa kishindo.

“Sisi ndiyo jeshi la chama. Itakuwa ni aibu kama mwenyekiti wetu atakuwa akidhalilishwa kwa kupata kura chache, ilhali nasi tupo. Lazima kuwaaibisha watu wa aina hiyo na kuwasaka popote walipo. Tunaomba vijana wenzetu watuamini kuwa tuko Dodoma kufanya kazi hiyo,” alisema Jery Silaa kwa niaba ya wenzake.

CCM Kagera
Naye Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Kagera, Hamimu Omary, amekanusha uvumi uliozagaa kuwa Mkoa wa Kagera ni mmoja ya mikoa inayounga mkono mkakati wa kumhujumu Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete.

Alisema kitendo cha kupiga kura za hapana kwa Rais Kikwete hakimdhalilishi mwenyekiti huyo peke yake, bali kinawadhalilisha viongozi wote ndani ya chama hicho.
Alitaka watakaobainika kushiriki katika mpango huo wachukuliwe hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa uanachama.

Omary alisema kuwa wajumbe wa mkutano mkuu wamefika katika mkutano huo wa uchaguzi kwa ajili ya kujipanga katika kukiimarisha chama na siyo kuchafuana.
Mkoa wa Shinyanga

Akizungumza kuhusu tuhuma hizo za kutaka kumchafua Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Mkoa Shinyanga John Mgeja, alipasua jibu akimtaja waziri mmoja wa wizara nyeti nchini kuwa ndiye anahusika katika kuandaa mpango huo.

Mgeja alisema kuwa, amepata majina ya watu wote waliohusika kuandaa mchezo huo mchafu dhidi ya Rais Kikwete na kwamba wanaongozwa na waziri huyo anayedaiwa kushirikiana na kigogo mkubwa ndani ya CCM ambaye ni mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho.

Vita
Katika uchaguzi wa chama hicho tawala vita ni kubwa katika kuwania nafasi 10 za ujumbe wa Nec, ambapo mawaziri sita ni miongoni mwa wanachama 31 upande wa Bara watakaopambana kuwania nafasi hizo.

Kwa upande wa Zanzibar vita hiyo inawakutanisha wanachama 28 wanaowania nafasi 10 za Nec wakiwamo mawaziri wanne.

Mbali na mawaziri sita, nafasi 10 za Tanzania Bara pia zinawaniwa na wabunge watatu, mkuu wa wilaya mmoja na vigogo wawili wa Kamati Kuu ya chama hicho.

Kwa upande wa Zanzibar pamoja na mawaziri wanne yumo pia Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi.

Kampeni za lala salama
Mji wa Dodoma na vitongoji vyake umefurika wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, huku wagombea wa ujumbe wa Nec wakifanya kampeni zao za mwisho.
Kampeni zinafanyika usiku na mchana kwa wapambe wa wagombea kupita kila kona walipo wajumbe wa mkutano mkuu wakiomba kura.

Baadhi ya wagombea wamebuni mbinu mpya ya kufanya kampeni kwa kubandika migongoni karatasi zenye picha za wapambe wao zinazoelezea wasifu wao ili kuwafanya watu wanaokutana nao kuona kwa urahisi.

Waandishi wa gazeti hili jana walishuhudia vijana wengi wakirandaranda katika uwanja wa majengo ya Makao Makuu ya chama hicho wakiwa wamebandika karatasi za wasifu wa wagombea wao migongoni.
Jana, takriban wagombea wote wa Nec, walikuwa wakipita kwa baadhi ya wajumbe waliokuwa katika viwanja vya majengo ya makao makuu wakiwasalimia na kuomba kura.
Ni vita CCM Dodoma - siasa - mwananchi.co.tz



 
Bashe bado mtoto sana katika politics na hasa ndani ya CCM na kama ulisikiliza hotuba ya kikwete leo aliwa-rap watu kama akina bashe kuwa they are novices na CCM ni chama kubwa, being msomali situation inamweka pabaya zaidi bashe believe me wanajamvi his days are counted.!
 
Mkuu mbona unaleta Gazeti la jana badala ya kutuwekea Gazeti la leo?
 
Karne ya 21 wa TZ tunapanda basi la makabila! ukiona mtu anataja taja kabila la mtu kwa lengo la ubaguzi huyu ni wa kuepukwa kama ukoma!

 
Hii habari tumeisoma jana actualy juzi, nilivyoona heading nikajua kuna muendelezo kumbe ni ile ile old wine in old bottle.
 

NIlishawaweka thread kusema CCM wote ni novice naona umechagua kipande,na upande wa pili nao watasema upande uliobaki.Mwisho tutarudi sqare zero CCM ni chama cha zamani ila kina viongozi novice ktk siasa za kisasa.
 
Politics TZ ni kama wasanii wengi wa BONGO flavour, wanapiga muziki na playback. Huyu Bashe anachezeshwa mziki na kina Rostam na EL, na Novice wengine vilevile. Wanaopiga mziki wa siasa kwa kujikamilisha wenyewe kwenye nyanja zote ni wachache sana. Na hao ndiyo wanaigawa CCM bila wao kuona ndiyo sababu. Wananchi wengi wanataka CCM ife, ila wamesaidiwa kwa CCM kujiua yenyewe.
 

Common now kwanini unaleta UBAGUZI? kama ni MSOMALI sasa SITUATION ni mbaya kwa NINI?
MBONA MBUNGE wa TABORA MJINI na MWENYEKITI wa SIMBA ni MSOMALI na hakuna lolote kwake?

Mmeanza haya ya kuitana kwa RANGI; DINI na UKABILA hii ndio CCM YETU halafu Mnashangaa SHEIKH PONDA na UAMSHO wanapata wapi MWAMKO wa kuhamasisha wanachama WAO ???

WEWE ni hatari zaidi YA UKOMA... SIJUI kwanini CCM wanakuendekeza - HICHO CHAMA Kimekufa kama kinawanachama kama wewe MBAGUZI...

Wakati wa NYERERE wewe UNGEKUWA JELA kwa CHUKI ZAKO... Sio SASA kila mtu CCM ni FISADI au anatafuta UFISADI
 
Sofia Simba na timu yake watakuwa wanatoa burdani hapo Ddm! Chezea mijimama ya CCM wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…