Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 112
Karne ya 21 wa TZ tunapanda basi la makabila! ukiona mtu anataja taja kabila la mtu kwa lengo la ubaguzi huyu ni wa kuepukwa kama ukoma!
Kiama cha Mooooooooooooooooto kinawaangukia wana CCmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm ndio mwisho wao huo kila kitu kina mwanzo wake na amwisho wake.......... Isaac JKkiamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ccm
Mkuu Matola Hizi habari bado ni moto moto mkuu ccm inaelekea kukalia kuti kavu inaweza ikagawanyika makundi makundi .Mkuu mbona unaleta Gazeti la jana badala ya kutuwekea Gazeti la leo?
Mkuu fafanua zaidi.
How yataleta machafuko?
Na kivipi hatuko salama?
Seriously i don't get you.
mbona nyie wote watatu ni "member" tu humu,hii imetokea kwa bahati mbaya au makusudi pengine ni mtu moja aliyesajili id tatu tofauti leo kwa ajili ya shughuli za bashe tu?!!!Acha chuki zako za kibaguz zisizo na mcng, kama angekuw haramia kuna sbb gan ya kutokukamatwa na vyombo vya dola? na hilo jina umelipata wapi kama cyo kwa wamarekani?
Acha chuki zako za kibaguz zisizo na mcng, kama angekuw haramia kuna sbb gan ya kutokukamatwa na vyombo vya dola? na hilo jina umelipata wapi kama cyo kwa wamarekani?