kijana kutoka nzega abubakari bashe amedondoka kwenye uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom kijana ambaye alipata upinzani mkali kwa mdada ambaye anatoka familia za kawada.vijana wenye hasira walikua wanasema tunampigia dada ambaye hajafanya kampeni kwa vile hana uwezo wa kokodi magari ya kampeni.vijana coed walimuliza maswali akakimbia mwenyewe huku akikimbia sana akisema hawa watoto wa maskini hawana la kupoteze hawana hata pesa laki benki .vijana pia walijitolea kulinda kura za dada ambaye alikua hana mawakala kwa vile hela hela za kuwalipa .baada ya matokeo kuonekana mazuri kwa mtu ambaye hana hata mawakala watu walianza kupiga kelele wakisema zingira ofisi .vijana walilala ofisi za tume wakiogopa kuchakachuliwa na tume .dada hakujua kama atashinda kumbe watu wakichoka kuburuzwa hufanya mambo mazito

jamaa wa cbe si kashinda kwa kuloga na cdm c walimpa milion 18, kwan unazan hatujui
Mkuu fafanua kidogo hapo kwenye red kabla sijakugongea thanx yangu!!
Acha UPUMBAVU wewe kura zilipigwa kidini vipi kwani pale ni kanisani,kwa mpango huu ukiwa kama kijana sidhani kama utafika mbali na hiyo kete ya udinideborah gabriel ndo rais wa chuo makamu wake pia ni mdada anaitwa theresia, mh kazi ipo, kura pia zilipigwa kidini but nashukuru hakushinda coz udini ukizidi!!!!!!!!!!!!!!
The same imetokea CBE Campus ya Dar es Salaam. Kijan mmoja aliyekuwa Vice Presidaa katika serikali iliyopita kaangushwa nambunge wake, mtoto wa Maskini. Kampeni za VP zilikuwa za anasa ya hali ya juu. Mabango ya aghali, usafiri bure kwenda kila campus, vikundi vya Kiduku toka TMK na ngebe kibao. VP alikwisha andaa hata wimbo wa ushindi kama ring-tone. Vijana wakasema HAPANA tena kwa kishindo. Wakampa mtoto wa Maskini. Somo lilikuwa nyuma ya kushindwa kwa VP ni ishara kwa CCM iliyokuwa inampiga tuff