Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,623 Reaction score 8,427 Dec 24, 2018 #1 Habari wanaJF, Baraza la Sanaa (BASATA) limewaondolea katazo la kufanya maonesho nje ya nchi msanii Diamond na kundi la Wasafi, na kubakiza katazo la ndani ya nchi Chanzo: Mwananchi
Habari wanaJF, Baraza la Sanaa (BASATA) limewaondolea katazo la kufanya maonesho nje ya nchi msanii Diamond na kundi la Wasafi, na kubakiza katazo la ndani ya nchi Chanzo: Mwananchi
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,827 Dec 24, 2018 #2 Mnapata wapi guts za kuanzisha thread za kibwege kama hizi ?
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,840 Reaction score 4,812 Dec 27, 2018 #3 Mkuu shule zimefungwa Dreka said: Mnapata wapi guts za kuanzisha thread za kibwege kama hizi ? Click to expand...
Mkuu shule zimefungwa Dreka said: Mnapata wapi guts za kuanzisha thread za kibwege kama hizi ? Click to expand...