Ooh ahsante mkuu kwa kunipa mwanga. Nilikuwa sijui hiloKukisiana ndo fasheni na si kitu kigeni mana hata ukiwa unafunga NDOA usishangae mchungaji au padri kukwambia umkiss mkeo kama ishara ya Upendo..BASATA wanaangalia sana mavazi na maneno yaliyotumika
Katika kuangalia video yoyote kuna aina tofauti ya mtizamo. Unapotaka kutoa uamuzi wa kukubali au kuikataa fikra zenye mahaba inabidi uziweke kando. Ile video kwa kweli haistahili kuangaliwa wakati ukiwa umekaa sebuleni na watoto. Aidha watoto wataondoka au wewe mzazi uondoke, kwa kuwa yale yanayoonyeshwa kwenye ile video ni mambo ya chumbani.Analysis yako mbovu...jipange tena
Nashukuru kaka kama nawewe una mtazamo sawa na mimiKatika kuangalia video yoyote kuna aina tofauti ya mtizamo. Unapotaka kutoa uamuzi wa kukubali au kuikataa fikra zenye mahaba inabidi uziweke kando. Ile video kwa kweli haistahili kuangaliwa wakati ukiwa umekaa sebuleni na watoto. Aidha watoto wataondoka au wewe mzazi uondoke, kwa kuwa yale yanayoonyeshwa kwenye ile video ni mambo ya chumbani.
Ni kweli kabisa rungu la BASATA lisiishie kuwaonea na kuwanyong'onyeza wanyonge wasiokuwa na haki mbele yao, livuke mpaka kwa hao 'wakubwa' ili msimamo wao ueleweke vyema na uchungu wa kutoa kazi zisizotakiwa na jamii waupate.
Maoni yangu: Mosi, soko la muziki linakuwa kwa kasi na wasanii (sio wanamuziki) wanaingiza kila aina ya vituko ili kuvuta washabiki. Huo sio uungwana na inapelekea kuipotosha jamii kwa utamaduni ambao hauna maudhui mema kwa jamii. Kwa kuwa wao ni kioo cha jamii wanatakiwa wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika kusimamia urithi wa utamaduni.
Upili, vituo vyetu vya runinga vinatakiwa vijue ni wakati mahsusi wa kucheza nyimbo fulani kama iwapo wana shaka na mudhui ya wimbo husika.
Utatu, jamii ikemee vitendo vyovyote vinavyonyesha upendeleo kwa baadhi ya wasanii hasa wale wanaoonekana "untouchables", kwa kuwa mamlaka zinaoneka kuwaogopa.
Nashukuru kwa kuliona na kulisemea. Kwa kuwa watu wengi wanaumia lakini wenye mamlaka wapo kama vile hawalioni. Au wamepofushwa mie na wewe hatujui. Kama wangekuwa wanasimamia sheria haya mambo yasingefika hapa yalipofikia. Kwa sababu sasa hivi hawa wasanii wanaoadhibiwa wanaona kama kuna 'double standards' katika usimamizi wa kazi za wasanii (Kuna walio juu ya sheria na wenzangu wa pangu pakavu tia mchuzi).Nashukuru kaka kama nawewe una mtazamo sawa na mimi
Kama huangaliagi Bongomuvi ni heri ukaage kimyaBongo Movie ugonjwa wao upo kwenye mavazi lakini kukiss sijawahi kuona. May be kukumbatiana au kulaliana
Kupiga marufuku nyimbo za Nay wa MitegoBASATA NA COSOTA HIVI KAZI YAO KUBWA NI IPI?
Kutoa ulaji kwa watu wasio na kazi.BASATA NA COSOTA HIVI KAZI YAO KUBWA NI IPI?