Basata rudisheni hili shindano tafadhari

Basata rudisheni hili shindano tafadhari

Isaac1

Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
79
Reaction score
70
Basata rudisheni hili shindano tafadhari.
Sikilizeni kilio chetu nasi tushiriki.
issamichuzi-20181208-0001.jpeg
 
Hili ni shindano la miaka hiyo ambalo la watu wenye sura nzuri,
Hapo kuna Remmy, Jangara pamoja Masudy sura nzuri mzee wa Ilala.
Alishindana masudi maana nakumbuka watu walicoplain kubwa masudi anaulemavu siyo sura mbaya...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakumbuka Ilkuaga ikijulikana kama siku ya SHISUMBATA
{Shindano LA Sura Mbaya Tanzania}


Unaskia Mtu anakuaga kua anaenda kushiriki Shisumbata[emoji12]
 
Nakumbuka Mzee Remmy Ongala akilalamika Masoud kushinda alisema wamempendelea Mosoud, wakati ana sura nzuri, kwake Masoud ni mrembo!
 
Daaah?? Kumbe rafiki yangu nae kuna tuzo ambazo anaweza kuwa nominated
 
Nakumbuka shindano lilifanyika kinondoni masoud alijinyakulia Tv

Ova
 
Ahahahahaaaa kuna jamaa alitaka kujiandikisha,tukamshauri kabla ya kwenda aangalie picha za hao jamaa kwanza,kisha ajiangalie kwenye kioo masaa mawili ili asiende kusumbua watu wenye sura zao huko
 
Ahahahahaaaa kuna jamaa alitaka kujiandikisha,tukamshauri kabla ya kwenda aangalie picha za hao jamaa kwanza,kisha ajiangalie kwenye kioo masaa mawili ili asiende kusumbua watu wenye sura zao huko
Hahahahah mlimkosesha mwenzenu TV
 
Back
Top Bottom