KERO Basata approval for Business license in Arusha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Basata tena?? Hili kwangu jipya nimerenew lesen mwezi wa nne mwaka huu sijakutana na ili ila lesen ya vifaa vya ujenzi ni laki na nusu leseni mwaka huu wamezinyumbulishwa sana mwanzo ukiwa unauza bidhaa tofauti tofauti unalipia leseni moja ila saiv unajikuta unalipia leseni 3 hadi 5 tofauti tofauti
 
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Serikali inawakamua wananchi wake hususan wawekezaji kwa kuwapiga indirect levvy na tax.

Wanasema unapolipa BASATA umefanya compliance ya kurenew leseni yako pale Halmashauri.

Nchi inawakamua wananchi wake wa kati na wa chini bila huruma
 
Wafanyabiashara wa vinywaji na maduka wanayouza mahitaji ya nyumban wanalalamika unatakiwa ulipie leseni ya TBS laki moja kwa mwaka wakati wewe si mzalishaji wa bidhaa mimi nafikiri TBS ilipaswa kulipiwa kiwandani na si madukani
 
hii sasa ni hatari , lakini mambo haya ndo yatatujengea uwezo wa kupambana na serikali
 
Wafanyabiashara wa vinywaji na maduka wanayouza mahitaji ya nyumban wanalalamika unatakiwa ulipie leseni ya TBS laki moja kwa mwaka wakati wewe si mzalishaji wa bidhaa mimi nafikiri TBS ilipaswa kulipiwa kiwandani na si madukani
Tunahitaji REFORMS kuliko tunavyodhania
 
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Lete tin number tukusaidie
 
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Royce Royce watayaendeshaje?!
 
Back
Top Bottom