tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Aliyewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Baruani amesema watu wa Lindi wana mimba ya mradi wa gesi ambayo inamsubiria Samia aje aizalishe mimba hiyo. Ameyasema hayo leo septemba 25, 2025 katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea katika mkoa wa Lindi jimbo la Mchinga akitoka Chama cha Demokrasi na Maendeleo (#CHADEMA) na kuhamia rasmi CCM.
Soma pia: Rais Samia: Serikali kupitia REA imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya kupikia, majiko ya gesi na majiko ya umeme
Soma pia: Rais Samia: Serikali kupitia REA imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya kupikia, majiko ya gesi na majiko ya umeme