Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

SpK

Member
Jun 14, 2008
40
4
Kumbe KUJIVUA GAMBA ndo kumeanza kwa style hii? Mojawapo ya kiongozi wa ngazi ya juu kwenye Kata fulani ya Wilayani ameshapata barua kama ilivyo hapo chini.

Maswali ya baadhi ya watu katika Kata hiyo:
  1. Mbona barua yenyewe imechelewa kumfikia (ameipata tar 20-05-11 tangu iandikwe tar 07-05-11?). Je, waliogopa kumpelekea mapema au?
  2. Halafu barua haijataja sababu za stop (Labda hakuna ulazima kama hana kashfa like RA na wenzanke)
  3. Kwanini hawakumwita kwenye kamati ya maadili kumwonya kwanza?
  4. ......... n.k.
CCM - OFISI KUU YA WILAYA,
S.L.P xxxx,
(Wilaya),
07-05-2011

Ndg. (Fulani) (M/Kiti CCM (Kata))

YAH: KUSIMAMISHWA UONGOZI ULIONAO (M/KITI CCM (Kata))

Mada tajwa hapo juu yahusika.

Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya iliyokutana tarehe 07-05-2011 imekusimamisha uongozi ulionao ndani ya Chama (M/Kiti wa CCM Kata ya xxxxx) kutokana na tabia na mwenendo wako umekuondolea sifa ya uongozi.

Umesimamishwa kuanzia leo tarehe 07-05-2011 hadi hapo maamuzi ya vikao vya juu yatakapotamka vinginevyo.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

(Signed)
Fulani Bin Fulani
Kny. KATIBU WA CCM WILAYA
(Wilaya)
 
Huna chochote ulichotuambia hapo! Inaonekana ni creation yako na unatuletea hapa ili kuzua mjadala usio na tija! Hivi ina maana hapa JF hatuwezi kuwa na mjadala wenye tija kwa taifa badala ya hivi viudaku udaku ambavyo havimsaidii yeyote, hata yule aliyepost thread? Be fair to the forum and the contributors!
 
Kama linaukweli kwanini? Uogope kuweka wazi habali
 
Hajaficha, hana kwa sababu barua yenyewe kai-draft yeye mwenyewe ili apate ujiko hapa jamvini.

Very sorry wadau, jana sikuweza pata scanner, nitawaletea barua original baada ya kui-scan na kuibandika hapa. Its a really thg pls dont judge otherwise. Hii imetokea live na si huyo tu ni zaidi ya Wenyeviti wawili katika Wilaya hiyo ambao nimeziona barua zao kwa macho yangu. Na hiyo nimenukuu kila kitu kasoro logo ya CCM tu kutoka barua ya M/Kiti huyo aliyestopishwa.
Kindly be polite I'll come immediately with the whole letter hapa jamvini baada ya kupata scanner.
 
Huna chochote ulichotuambia hapo! Inaonekana ni creation yako na unatuletea hapa ili kuzua mjadala usio na tija! Hivi ina maana hapa JF hatuwezi kuwa na mjadala wenye tija kwa taifa badala ya hivi viudaku udaku ambavyo havimsaidii yeyote, hata yule aliyepost thread? Be fair to the forum and the contributors!

Hii ni habari true na siyo udaku, binafsi sipendi udaku na hata hayo magazeti ya udaku sina ushabiki nayo. Siweazi poteza muda wangu kwa kuweka kitu ambacho ni nonsense to the forum. This is a really thing and has been happened na barua hiyo ipo kama nilivyoinukuu na kuiweka hapo. Sikuweza kupata scanner thats why nikachukua kila kitu toka barua hiyo fupi na kukiweka hapa.
Hii ni habari yenye tija na iko serious than you think man. Nadhani M/Kiti huyu anujua uchungu wa barua hii kwani isitoshe amekuwa kiongozi katika cheo cha juu kwenye Kata hiyo tangu enzi za TANU ya Baba Nyerere.
 
kwa nini umeficha hayo majina? tuwekee majina hapa sio facebook

Believe it or not but ni kweli. Confirm by calling 0784665027 ambayo ni namba ya simu ya ofisi hiyo ya CCM Kata kama ilivyo kwenye barua husika ya kumstop M/Kiti huyo wa Kata.
 
Holy kinyesi. Kwahiyo kwenye hiyo scanner nayo utafuta hiyosehemu na huyo mhusika? Holy kinyesi again.
 
Nasikitika zoezi zuri la kujivua magamba sasa linawekutumika vibaya na kufanikisha malengo ya baadhi ya wanachama maarufu wa chama cha mapinduzi kufinya watu ambao hawakubaliana na fikra zao. As a political party that has lost it public appealing posture, it is a good idea to review and critically examine what has gone wrong. Remain assured if this exercise is not supervised by credible people it will be a weapon to hurt innocent and constructive but always misconstrued thinkers.
 
SPK kajieleza, tuwe na uvumilivu, ataleta taarifa kamili zenye uthibitisho soon!!
 
6113984.jpg
 
Back
Top Bottom