Barua za Dada..Nafikiri kumtimua

Kwa mara ya kwanza kuona bonge la ushauri thread nzima..no uchakachuzi!..lol
Mleta mada nadhani ukifuata haya uloelezwa hapa utamsaidia sana huyu beki3 wako..
 
hg nae ni binadamu ana hisia, ulipaswa umuongoze kama mwanao kumrudisha kwao hakutamsaidia yeye na futurw yake.....

Mwanao akiandikia barua boyfriends utamfukuza au utamkanya, kumwonya na kumuongoza njia ifaayo?
 
hg nae ni binadamu ana hisia, ulipaswa umuongoze kama mwanao kumrudisha kwao hakutamsaidia yeye na futurw yake.....

Mwanao akiandikia barua boyfriends utamfukuza au utamkanya, kumwonya na kumuongoza njia ifaayo?

km ameonywa hajackia afanyeje? Mfukuze 2 akipata mimba itakuaje? Mwanao unaweza mpiga hg je, ukimpiga atasema unamnyanyasa na kwao wakickia ndo kabisa!
 
Kama keshaonywa unamuacha tu. Lakini kubaliana nae akibeba mimba either anaenda kupeleka mzigo kwao kijijini, or else anahamia kwa huyo bwana. So ajue kabisa ukisuka sangita shurti unyinyoke wakati wa kufumua
 

Ukiwa kama mwajiri umefanya makosa makubwa sana tena ya kisheria kuanika barua zake za private hapa jamvini. Kama mwajiri unalo jukumu ka kisheria ku-maintain confidentiality ya mwajiriwa wako unless huitaji kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria. Sioni sheria yoyote inayokuruhusu ku-breach confidentiality hapa. Hata kama amefanya makosa huna haki kisheria ku-publish barua zake za siri kihivi. Sio fair kabisa.

Pia hukuwa na haki ya kumyang'anya simu yake. Huu ni unyanyasaji mkubwa wa ma-housegirls ambao huwa unafanywa na waajiri wengi.

Na kama ukimtimua na akapata mwanasheria mzuri lazima itakula kwako. Yaani unamfukuza mwajiriwa wako kisa ana uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye wala huna uhusiano nae? Imagine ofisi kwako umefukuzwa kazi eti kwa kuwa na uhusiano na mama muuza chapati hapo nje. Kwa kwenye terms za ajiri mlikubaliana kuwa kuwa asiwe kwenye mahusiano ya kimapenzi? Kama hayo mahusiano yana-affect ufanyanyi kazi wake labda unaweza kuchukua hatua lakini sio kwa kuanika barua zake za siri.

Hivi hakuna taasisi zinazolinda haki za wafanyakazi wa ndani? Huu ni unyanyasaji mkubwa. It could also be regarded as sex discrimination. Ushauri wangu, ondoa hizo barua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…