Du! Usimtimua kwanza, ni stage ya maisha ambayo hata mtoto wako atakuja kupitia/ashapitia. Jaribu kumchukulia kama mwanao, na 'umlee' katika hilo ili litakapokuja kuwa kwa mwanao, uwe na experience.
Du! Usimtimua kwanza, ni stage ya maisha ambayo hata mtoto wako atakuja kupitia/ashapitia. Jaribu kumchukulia kama mwanao, na 'umlee' katika hilo ili litakapokuja kuwa kwa mwanao, uwe na experience.
wewe unafaa kuwa mshauri wa jamii do it foreverUkionya, ukikaripia, ukifundisha, ukishauri halafu hakuna matokeo mazuri, basi nawa mikono kama Pilato. Na aondoke kwa amani, atakuja kuyakumbuka siku yakimkuta hayo anayokatazwa. Ndipo wema na ubaya wenu utakapo onekana kwake.
usiwe mgumu wa kuelewa jaman!si amesema kaishaptia hatua zote.Pole sana,kumfukuza utakuwa hujamsaidia lolote lamsingi ni kumuita ukamshauri ukamuonya ukiona hajabadilika kama ulimtoa nyumbani kwao unaweza kuongea na ndugu zake na kuwaelezea jins mtoto wao alivyobadilika na wao wakamuonya, usifikie maamuzi ya kumfukuza chukulia kama ni mwanao na je mwanao akiwa na tabia za hivyo utamfukuza?Ikishindikana hapo mrudishe nyumbani kwao umkabidhi
View attachment 32181View attachment 32182View attachment 32183View attachment 32184View attachment 32185View attachment 32186View attachment 32187View attachment 32188Haya mambo ya Dada (House Girl) kutoka kusini mwa nchi yetu. Alianza ajira shwari kabisa, baada ya muda mwenendo wake ukabadilika, pengine akienda sokoni kurejea lazima achelewe. Siku chache zilizopita, mamsapu alijaribu kuchukua simu anayoitumia kwa mawasiliano hapa nyumbani tulimnunulia kwa hilo tui, mara simu ikalia, baada ya kupiokea, sauti ya jamaa ikasikika ikikoroma "vipi we mtoto mbona huonekani buchani sasa mimi nimeweka nyama kibao uje ule??...njoo bwana tiufanye kama siku ile leo nitakupa na hela ya mtoko.." Mamsapu akashtuka na kuuliza, vipi ??? Jamaa likakata simu..badaa ya kumuuliiza dada akakataa..lakini baada ya muda akakiri anasumbuliwa na jamaa fulani ..akaahidi kuacha haya mambo. Tukamnyang'anya simu. Aidha, katika harakati ya kujaribu kumsaidia..tuliendelea kumwonya tu ili azingatie kile ambacho kimemleta mjini asije ishia kwenye matatizo ikiwemo maradhi...lakini inaonerkana kabinti kamezoea..leo naletewa kesi hii,...eti dada anatumia daftari, karamu na rangi za watoto kuandikia barua wanaume...khaaa. Nafikiri kutimua mtu this evening!! Naona hakuna kitu hapa!!
chukua tano!Ukionya, ukikaripia, ukifundisha, ukishauri halafu hakuna matokeo mazuri, basi nawa mikono kama Pilato. Na aondoke kwa amani, atakuja kuyakumbuka siku yakimkuta hayo anayokatazwa. Ndipo wema na ubaya wenu utakapo onekana kwake.
Pole sana.
Unajua maisha ni kitu cha ajabu. Tujaribu kuwachukulia hawa kama wenetu wa kuwazaa hasa pale ambapo anakuja akiwa bado mdogo. Mama mfanye awe rafiki yako kama vile mwanao wa kike kwani mkishakuwa karibu ni rahisi kummonitor mara kwa mara, kumtania tania huku ujumbe ukifika moja kwa moja ni rahisi kumjengea confidence kuwa anajaaliwa na 'wazazi' wake. Mara nyingi hawa wanaowarubuni hufanikiwa kwa kuwa huwafanya wale wasichana wajisikie kuwa anajaliwa sana.
Lakini ukimchukulia eti ni mtu mzima kwa kuwa tu anakufanyia kazi na ukategemea kuwa Life skillls anazijua, matokeio yake huwa mabaya.
Usimfukuze, mkalishe chini, ongea naye taratibu, mweleze madhara yote yanayowezampata kama ataendelea (tena usimkanye kama unamsomea risala) kisha mwulize wamefika wapi, akacheck then maisha yaendelee.......kumbuka kumwonya mwenye bucha.
View attachment 32181View attachment 32182View attachment 32183View attachment 32184View attachment 32185View attachment 32186View attachment 32187View attachment 32188
Haya mambo ya Dada (House Girl) kutoka kusini mwa nchi yetu. Alianza ajira shwari kabisa, baada ya muda mwenendo wake ukabadilika, pengine akienda sokoni kurejea lazima achelewe. Siku chache zilizopita, mamsapu alijaribu kuchukua simu anayoitumia kwa mawasiliano hapa nyumbani tulimnunulia kwa hilo tui, mara simu ikalia, baada ya kupiokea, sauti ya jamaa ikasikika ikikoroma "vipi we mtoto mbona huonekani buchani sasa mimi nimeweka nyama kibao uje ule??...njoo bwana tiufanye kama siku ile leo nitakupa na hela ya mtoko.." Mamsapu akashtuka na kuuliza, vipi ??? Jamaa likakata simu..badaa ya kumuuliiza dada akakataa..lakini baada ya muda akakiri anasumbuliwa na jamaa fulani ..akaahidi kuacha haya mambo. Tukamnyang'anya simu.
Aidha, katika harakati ya kujaribu kumsaidia..tuliendelea kumwonya tu ili azingatie kile ambacho kimemleta mjini asije ishia kwenye matatizo ikiwemo maradhi...lakini inaonerkana kabinti kamezoea..leo naletewa kesi hii,...eti dada anatumia daftari, karamu na rangi za watoto kuandikia barua wanaume...khaaa.
Nafikiri kutimua mtu this evening!! Naona hakuna kitu hapa!!