Hapa panahitaji upige picha ya cheti au document iwe katika pdf?Icho kipengele kipo unaweka recommendation letter from your previous supervisor au employer ni nzuri kwa interns
View attachment 2092810
Iwe PDFHapanpanahitaji upige picha ya cheti au documente iwe katika pdf?
Mkuu naomba kuuliza Kwenye Verification Certificate inakuaje...yaan vyeti vyangu viwe certified na mwanasheria auMimi nawekaga page 3 sijawai kosa itwa ata siku moja
Hivi nyie graduate wa siku hizi hamsomi GIS?Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi.
Naomben majibu
hapana CV weka yakoWakuu CV inayotumika ajira portal ni Ile ya kwao nii download alafu niiweke ?
Kuna Tangazo nimelisoma leo la mamlaka ya Anga Tanzania wamesema barua ya maombi iwe ime base na wingi wa taarifa waliyotoa kwenye Tangazo,kwa nilivokua a unapaswa useme vigezo vyote nane+ walivyotaja unavyo kimoja baada ya kingineJe ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi.
Naomben majibu
Mkuu naomba kuuliza Kwenye Verification Certificate inakuaje...yaan vyeti vyangu viwe certified na mwanasheria au
Jamani mtu yeyote aliyeomba kazi AjiraPortal aweke hapa sample yake ya barua ya maombi.. Naona Sasa kumekuwa na complications Hadi kwenye Application letter..
Sanasana kwenye title ya barua hapo Kuna mkanganyiko.
Mkiweka sample hapa itasaidia vijna wengi naona wengi wananiuliza PM.. Hii statement vijana inawatisha sana
Hii mara nyingi wanakuandikia wao yaani either HRO au Mwajiri.Naomba Nitumie sample ya recommendation letter hapa au hata
0755340150
😂😂 Daaah nmecheka sana,Wakuu CV inayotumika ajira portal ni Ile ya kwao nii download alafu niiweke ?
Aisee mambo ni ya ajabu mno, graduated hajui kuandika barua 😂😂Ila wewe hua Ni zuzu sana aisee,unawezaje kuandika barua bila kuandika title ya nafasi unayoomba na jina la taasisi husika?Yaani na Hilo suala mpk ukumbushwe Kama hivyo?[emoji1][emoji1][emoji1]
So una jibu la swali langu au?😂😂 Daaah nmecheka sana,
Kuna mtu hajui kitu flani lkn swali analouliza inaonyesha huyu ana uelewa kichwani.
Halafu kuna mwingine anauliza swali, hilo swali linamuonyesha huyu mtu hana akili timamu.
Ile pale ni kama muhtasari/ufupisho wa kile ulichojaza kwenye system na sio CV inayotakiwa kwenye ajira, unatakiwa ww uandae CV inayotakiwa kwenye maombi ya kazi.So una jibu la swali langu au ? ,Mkuu Kama huwezi kujibu kitu unaacha,au ungeuliza kwanini nimeuliza hivo
Nimeuliza sababu wameweka option ya ku print hiyo CV yao na kudownload ,au nikuulize kwanini wameweka option hiyo ?
Mimi ni Kheri nionekane fala ili nisaidiwe kuliko kuwa mjuaji
Sawa MkuuIle pale ni kama muhtasari/ufupisho wa kile ulichojaza kwenye system na sio CV inayotakiwa kwenye ajira, unatakiwa ww uandae CV inayotakiwa kwenye maombi ya kazi.
Point yangu ni kwamba kuna baadhi ya vitu ukitumia akili za kitoto tuu unaelewa, sio mpaka utumie akili za shule.So una jibu la swali langu au ? ,Mkuu Kama huwezi kujibu kitu unaacha,au ungeuliza kwanini nimeuliza hivo
Nimeuliza sababu wameweka option ya ku print hiyo CV yao na kudownload ,au nikuulize kwanini wameweka option hiyo ?
Mimi ni Kheri nionekane fala ili nisaidiwe kuliko kuwa mjuaji
Siyo kweli. Nimeshawahi ku apply ajira mara nne na mbili niliitwa na sikuweka cv mnayoisema hapa. Application ya Kwanza niliitwa nikaangukia pua written(ilifanyika DUCE). Ya pili sikwenda sababu niliona napoteza tuu nauli kama laki1 kwenda Dodoma, kurudi Dar na malazi) kuwania nafasi mbili watu 400. Ya tatu walinitema "academic certificates are not certified by an advocate" ilihali zile mbili za mwanzo niliitwa pasipo ku certify. Ya mwisho system ilinikataa nisi apply nikaitekenya nika apply. Majibu yakaja sina relevant qualifications. Baada ya kuanza utaratibu wa kufanya usahili Dodoma, nikaenda kuchukua mkopo wa vijana halmashauri nikaamua tuu kujiajiri mpaka leo.hapana CV weka yako