JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 483
Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?TCU PO BOX 6562
DAR ES SALAAM 11/08/2016
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA
YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina DIPLOMA ninahitaji kujiunga Degree,lakini mnanikatisha tamaa ni mda mrefu mnatoa tar za ukurasa kufunguka inakua sio kweli NA SIMU ZENU HAZIPATIKANI taarifa hakuna,kwa niaba ya applicants wenzangu ninaomba ufafanuzi lini uhakika ?Tupo mtaani kichwa hakitulii hatujui hatima yetu ini lini nawaomba waheshimiwa kuweni na taarifa zenye uhakika kupunguza madhara kwani mnasababisha watu wapate pressure..mnatusononesha sana okey....nawatakia kazi njema
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda na asali
Jitu la miraba minne
jitu@gmail.com
π‘ππππ±
Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?
Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.
Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?
Tulieni bhanah Wakuu.

Nyinyi wa GPA za </=2.7 mna shida kwelikweli, barua inakushinda kuandika hiyo degree unayolilia utaiwezaJITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA
YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina DIPLOMA ninahitaji kujiunga Degree,lakini mnanikatisha tamaa ni mda mrefu mnatoa tar za ukurasa kufunguka inakua sio kweli NA SIMU ZENU HAZIPATIKANI taarifa hakuna,kwa niaba ya applicants wenzangu ninaomba ufafanuzi lini uhakika ?Tupo mtaani kichwa hakitulii hatujui hatima yetu ini lini nawaomba waheshimiwa kuweni na taarifa zenye uhakika kupunguza madhara kwani mnasababisha watu wapate pressure..mnatusononesha sana okey....nawatakia kazi njema
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda na asali
Jitu la miraba minne
jitu@gmail.com
π‘ππππ±
Wewe unazingua au kwasababu umeshavuka mto ndio maana unamcheka mamba sio. Kweyeyo ambae yupo kwenyehuo mchakato sasahivi ni lazima asitulie maana kiukweli wanazinguaNdo ulivyofundishwa kuandika barua?
Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.
Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?
Tulieni bhanah Wakuu.
Wooooow amazing congratulations [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] you deserve betterformat wamebadilisha ktk mtandao wakuu mm nina GPA 4.5