Barua yangu kwenda TCU

Barua yangu kwenda TCU

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
482
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA

YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE

Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina DIPLOMA ninahitaji kujiunga Degree,lakini mnanikatisha tamaa ni mda mrefu mnatoa tar za ukurasa kufunguka inakua sio kweli NA SIMU ZENU HAZIPATIKANI taarifa hakuna,kwa niaba ya applicants wenzangu ninaomba ufafanuzi lini uhakika ?Tupo mtaani kichwa hakitulii hatujui hatima yetu ini lini nawaomba waheshimiwa kuweni na taarifa zenye uhakika kupunguza madhara kwani mnasababisha watu wapate pressure..mnatusononesha sana okey....nawatakia kazi njema
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda na asali

Jitu la miraba minne

jitu@gmail.com

😡😕🙁😎😱

wachane kabisa haoo sijui prezidaaaa hawaoni awatumbue
 
TCU PO BOX 6562
DAR ES SALAAM 11/08/2016
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA

YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE

Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina DIPLOMA ninahitaji kujiunga Degree,lakini mnanikatisha tamaa ni mda mrefu mnatoa tar za ukurasa kufunguka inakua sio kweli NA SIMU ZENU HAZIPATIKANI taarifa hakuna,kwa niaba ya applicants wenzangu ninaomba ufafanuzi lini uhakika ?Tupo mtaani kichwa hakitulii hatujui hatima yetu ini lini nawaomba waheshimiwa kuweni na taarifa zenye uhakika kupunguza madhara kwani mnasababisha watu wapate pressure..mnatusononesha sana okey....nawatakia kazi njema
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda na asali

Jitu la miraba minne

jitu@gmail.com

😡😕🙁😎😱

Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?

Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.

Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?

Tulieni bhanah Wakuu.
 
Ila ungeamua kuandika kwa kiswahili au kiingereza kuliko kuchanganya unaonekaaa haupo makini
 
Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?

Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.

Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?

Tulieni bhanah Wakuu.
Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?

Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.

Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?

Tulieni bhanah Wakuu.

Hakuna mwenye wenge Ila wanatufanya tufikirie jambo moja tu
 
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA

YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE

Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina DIPLOMA ninahitaji kujiunga Degree,lakini mnanikatisha tamaa ni mda mrefu mnatoa tar za ukurasa kufunguka inakua sio kweli NA SIMU ZENU HAZIPATIKANI taarifa hakuna,kwa niaba ya applicants wenzangu ninaomba ufafanuzi lini uhakika ?Tupo mtaani kichwa hakitulii hatujui hatima yetu ini lini nawaomba waheshimiwa kuweni na taarifa zenye uhakika kupunguza madhara kwani mnasababisha watu wapate pressure..mnatusononesha sana okey....nawatakia kazi njema
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda na asali

Jitu la miraba minne

jitu@gmail.com

😡😕🙁😎😱

Nyinyi wa GPA za </=2.7 mna shida kwelikweli, barua inakushinda kuandika hiyo degree unayolilia utaiweza
 
Ndo ulivyofundishwa kuandika barua?

Basi washatoa tamko kuwa utaratibu unamaliza na ifikapo tar 15/08/2016 mtaanza kuapply kama kawaida.

Mbona mnakua na wenge kama watoto wa certificate?

Tulieni bhanah Wakuu.
Wewe unazingua au kwasababu umeshavuka mto ndio maana unamcheka mamba sio. Kweyeyo ambae yupo kwenyehuo mchakato sasahivi ni lazima asitulie maana kiukweli wanazingua
 
Mda mwingine uwe serious kidogo maana nimefungua uzi nikajua ni kitu kimepangwa uzuri kumbe ume andika kitu cha msingi kwa njia ya utani na ndo maana pia unajibiwa kwa utani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom