Mwanangu asante kwa maswali yako chakukuambia ni kuwa kama unaona umekuwa kaanzishe mji wako ufanye unachotaka naongea kwa mara ya mwisho USINIJARIBU ova

Mwandiko kama wa kaka yako alieogombea ubunge jimbo la segerea kwa ticket ya cut ambae ni naibu katibu Mkuu cuf bara.......... Hapana huyo siyo kaka yangu labda ni mwanakijiji mwenzangu