Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu na wadau kwa ujumla

Kitendo hiki cha serikali kinanishangaza sana:

1. Tuna uhaba wa walimu wa Sayansi kama 27,000.
(Prof. Sifuni Mchome, Wizara ya Elimu, 19/12/2015, The Citizen).

2. Walimu wageni wa nchi jirani wanakuja kuziba pengo.

3. Tunawatoza walimu wageni $2500 kufanya kazi hizo.

4. Walimu wa nchi jirani 3400 wamerudi kwao. Waajiri wao hawana uwezo. Pengo linazidi.

Basically we shot ourselves in the foot!
 
wonders shall never end my dia !
its so sad for our country!sad for our poor creatures and sad for our Nation!

bado tupo nyuma sana kimaendeleo na bado elimu inachezewa!! Inashangaza!
 
you are absolutely right!!

there are so many obstacles that must be solved for our education to develop!

mi jicho langu kuu lipo kwa hawa wasio na uwezo wa kupeleka watoto wao shule zinazoitwa "nzuri "au "bora"
serikali inasafari ndefu sana juu ya hili kuikomboa nchi kielimu!

if i were me
ningeanza kuboresha mazingira kwanza ya kusoma like madarasa ya kutosha,distribution of many teachers e.t.c then elimu bure ingekuja badaye!
Kupandisha thamani ya elimu yetu ni jambo muhimu sana na ndio gumu. Binafsi kumfanya mwalimu apende mazingira yake na kutoa matirio mazuri ni jambo la kwanza, pili kumfanya mwanafunzi awe katika mazingira mazuri wakati wa upokeaji wa matirio hayo. Hivyo ni vitu viwili vinavyotakiwa vitembee pamoja ili kukamilisha mzunguko wa Elimu.
Lakini Je ule wito wa ualimu upo?? Je watoto wanaandaliwa kuipenda Elimu? Je jamii inawakazania watoto (hata kama si wako) waipende Elimu? Hili ni jambo ambalo kama Taifa tunatakiwa kuchukua hatua. Watoto wameaminishwa na wazazi walioaminishwa na walimu wajanja wajanja kwamba bila tuisheni basi hakuna Elimu. Sasa inabidi tuwe na kauli moja na kuacha ubinafsi Elimu ni muhimu na tuwekeze katika Elimu kwa nguvu zote. Elimu bure bila mipango maalumu na kushikamana ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Hapo red... A joke, right?

Waulize walimu watakwambia
hata mimi nilifikiri ni mzaha
kumbe very true kuna kitabu cha shigongo kwenye mtaala
na cha Shaaban Robert kimeondolewa

halafu kipo cha mbunge mmoja wa mkoa wa mara
ambae vitabu vyake ni summary tu ya vitabu vya watu wengine
kwanza ni makosa kwa mbunge kuingiza vitabu huku yeye anatakiwa kumsimamia waziri...
ni conflict of interests
 
Kama ndo tumefika huko huyu Ngosha ana kazi sana. Sijui yote haya mpaka ayatumbue yeye mwenyewe?
 
wonders shall never end my dia !
its so sad for our country!sad for our poor creatures and sad for our Nation!

bado tupo nyuma sana kimaendeleo na bado elimu inachezewa!! Inashangaza!

We have a very highly educated government but they can't can't seem to formulate policies which are in the best interest of the country.

If you look at countries which we wish to emulate, like Malaysia or Singapore, they welcome foreign workers. They helped modernize their economies by introducing new ideas and improved their productivity.

In Japan, a one year renewable visa for a foreign school teacher is only about $150 and is easily obtainable.

Even America, a rich country of over 300 million people and 5000 universities, invite educated people from around the world to live and work there in various fields, including teaching positions. Their top universities are full of foreign born professors.

The people we elected can't seem to accept the fact that we live in a global world.

They formulate policies which they think will make them popular in the short term instead of formulating policies which can make the country prosper in the long term.

It's sad, indeed.
 
Back
Top Bottom