Barua ya wazi kwa TCRA

Barua ya wazi kwa TCRA

[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
TUSILALAMIKE SANA, TULIWACHAGUA WENYEWE NGOJA WATUSHUGHULIKIE. UKISEMA SANA WATAKUSANANE. MIMI NINA MIAKA MITATU SIJAWAHI KUANGALIA CHANEL ZA TBC. WAMRUDISHE TIDO MHANDO MUONE SHUGHULI YAKE. TATIZO TIDO ANASEMA UKWELI NA ANAPENDA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI WAKATI TZ KUPENDA UHURU NI KUGUSA MBONI YA JICHO LA ASIYEJARIBIWA.
 
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]

TCRA nalo ni Jipu kama wameshindwa kusimamia walichaahidi... Raisi wa Wananchi Dr. Magufuli Mulika mwizi wanyonge tunanyimwa haki zetu za free Habari... Uongozi wa TCRA ulitupwaga Local Channel zote zinatakiwa zitizamwe free na Watanzania zaidi ni ulaghai tuliofanyiwa Watanzania na Serikali Mungu Anawaoneni haswa wewe Mkurugenzi wa TCRA
 
Jamani wanajamiiforums wenzang kwanini tusifungue kesi mahakamani kuwashtaki TCRA?
 
Tatizo Serikali yetu inaongozwa kwa kujuana.
 
tcra wanachukua kamisheni toka kwa mchina hivyo sisi tumekwisha
 
concept ya home channel kurusha free pasi kulipia ilikuwa danganya Toto ili wapiga deal wakubalike kiulaini ki ukweli channel zote masafa huwa wanalipia TCRA

sasa ukiwaambia wakurushie bure kidogo haieleweki kwa Hiyo moja ya sehemu ya mapato yao ni commission kutoka kwa wasafirisha Masada kama star time n.k kwa hiyo vumilia tunakamua kidogo tu.
 
Hawa jamaa hata hatuwaelewi, wakati ule tunahamia Digital walituaminisha kupata huduma za local channels bure, kwa maana hiyo wamekiuka makubaliano kati yao na Watanzania. Kama wapo kwa ajili ya Watanzania ni uhalali upi unaowafanya waendelee kuwepo?
Mkuu kuna mtu wao mimi uwa namwita "comical" Mungii alikuwa akizunguka vyombo vyote vya habari kuwaaminisha hivyo watanzania. Sijui kwa hali ilivyo kwa sasa uwa anajisikiaje moyoni mwake kwa jinsi alivyotumika kuwahadaa waTZ.
 
Back
Top Bottom