Barua ya wazi kwa Samuel Sitta

Barua ya wazi kwa Samuel Sitta

Ukikua utaacha uzezeta, Hivyo vibarua vyako havijawahi kuwa na Impact yeyote
 
Brother Lusmaka.
Nashukuru sana kwa ushauri ulioutoa, kimsingi nipo kwenye Maandalizi ya mwisho mwisho katikati ya mwezi huu nitawasili nyumbani Tabora kwa ziara ya siku 21. ambapo kwa Tabora Mjini nitatembelea kata za Ndevelwa, Kakola, Ifucha, Kabila, Baadae nitahamia Jimbo la Bukene kata za Itobo, Kishiri, Uduka, Mwamala kisha nitapitia jimbo la Nzega kwa Mkutano mmoja mkubwa wa Hadhara viwanja vya PARKING baada ya hapo nitakwenda Jimbo la Sikonge kwa siku 3 mfululizo halafu masiku yatakayosalia nitakwenda Urambo Mashariki nitafanya mikutano ya nguvu sana lazima huyu Mzee atatia akili. Ratiba ipo kama hivyo kamanda.

Itakapofika ratiba ya Urambo Mashariki nitaungana nawe hata kwa sala. Ufanye mikutano yako Urambo mjini (soko lote lipo tayari kinyume na Sitta) lakini ngome kubwa ya Sitta ni Tarafa ya Ussoke.
 
Mafisadi sasa marafiki wakuu wa sita!umekwisha babu sitta
 
Brother Lusmaka.
Nashukuru sana kwa ushauri ulioutoa, kimsingi nipo kwenye Maandalizi ya mwisho mwisho katikati ya mwezi huu nitawasili nyumbani Tabora kwa ziara ya siku 21. ambapo kwa Tabora Mjini nitatembelea kata za Ndevelwa, Kakola, Ifucha, Kabila, Baadae nitahamia Jimbo la Bukene kata za Itobo, Kishiri, Uduka, Mwamala kisha nitapitia jimbo la Nzega kwa Mkutano mmoja mkubwa wa Hadhara viwanja vya PARKING baada ya hapo nitakwenda Jimbo la Sikonge kwa siku 3 mfululizo halafu masiku yatakayosalia nitakwenda Urambo Mashariki nitafanya mikutano ya nguvu sana lazima huyu Mzee atatia akili. Ratiba ipo kama hivyo kamanda.

Ni msimamo mzuri!
 
Back
Top Bottom