Brother Lusmaka.
Nashukuru sana kwa ushauri ulioutoa, kimsingi nipo kwenye Maandalizi ya mwisho mwisho katikati ya mwezi huu nitawasili nyumbani Tabora kwa ziara ya siku 21. ambapo kwa Tabora Mjini nitatembelea kata za Ndevelwa, Kakola, Ifucha, Kabila, Baadae nitahamia Jimbo la Bukene kata za Itobo, Kishiri, Uduka, Mwamala kisha nitapitia jimbo la Nzega kwa Mkutano mmoja mkubwa wa Hadhara viwanja vya PARKING baada ya hapo nitakwenda Jimbo la Sikonge kwa siku 3 mfululizo halafu masiku yatakayosalia nitakwenda Urambo Mashariki nitafanya mikutano ya nguvu sana lazima huyu Mzee atatia akili. Ratiba ipo kama hivyo kamanda.