Barua ya wazi kwa Rais Mstaafu Kikwete kuhusiana na mzozo wa serikali ya rais Samia na CHADEMA

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:

Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi.

Mheshimiwa Kikwete unayo nafasi yako adimu sana, kwenye kusawazisha mambo hapa. Wazee Warioba na Butiku wamesikika. Sauti yako faraghani na hadharani inatakikana sasa labda kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.

Hebu uvunje ukimya wako na hii nchi ikapone.

Ukichagua kukaa kimya wewe kama rais mstaafu utakuwa na faida ipi kwenye nchi hii kama tuendako, ni dhahiri kutaharibika?

Kwamba waje watu kutoka kuja kusuluhisha nini wakati ungalipo hai na ukiywpata marupurupu yote kama rais mstaafu?

Pia soma: #COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini

Ilipokuwa lazima kukuitisha na wenzako mapema mno kabla ya hatari. Hudhani kuwa hata hapo yawezekana tulichelea mwana kulea?

Pia soma: Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Kwako Mheshimiwa sana Rais Kikwette.

Ninawasilisha.
 
Kikwete mwenyewe alizingua kipindi cha mkutano wa ccm pale Dodoma.
Aliombwa ushauri akawashauri wenzake vibaya!
Ni kama Kikwete hana busara tena za kukishauri chama na serikali!

Kuvunjika Kwa koleo hakuwezi kuwa mwisho wa uhunzi.

Kwa mawazo yako tunafanyaje kwenye rojo tulilomo?

Au hata, malaika tukawaokote wapi?
 
Mkuu, huyu naye ni chura kiziwi ambaye anajali maslahi yake binafsi na ya familia yake binafsi. Kumbuka huyu ndiye Rais mstaafu pekee ambaye ana mke ambaye ni mbunge wa Bunge la JMT na mwanaye ambaye pia ni waziri katika serikali iliyopo madarakani.

Ni Rais Mstaafu ambaye ni mstaafu ambaye bado hajastaafu. Ni Rais kivuli aliyepo bado madarakani. Safu zote za kiulinzi, kiusalama, na za kiutawala, yeye ndiye ambaye ni muhusika mkuu wa kuzipanga., kutokana ushawishi wake ndani ya serikali na chama chake.
 
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:

Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi.

Mheshimiwa Kikwette unayo nafasi yako adimu sana, kwenye kusawazisha mambo hapa. Wazee Warioba na Butiku wamesikika. Sauti yako faraghani na hadharani inatakikana sasa labda kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.

Hebu uvunje ukimya wako na hii nchi ikapone.

Ukichagua kukaa kimya wewe kama rais mstaafu utakuwa na faida ipi kwenye nchi hii kama tuendako, ni dhahiri kutahatibika?

Kwamba waje watu kutoka kuja kusuluhisha nini wakati ungalipo hai na ukiywpata marupurupu yote kama rais mstaafu?

Pia soma: #COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini

Ilipokuwa lazima kukuitisha na wenzako mapema mno kabla ya hatari. Hudhani kuwa hata hapo yawezekana tulichelea mwana kulea?

Pia soma: Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Kwako Mheshimiwa sana Rais Kikwette.

Ninawasilisha.
Yaani umtegemee kabisa huyo?
 
Hivi vyura vya kihansi vilirudishwa toka marekani?
 
Kuvunjika Kwa koleo hakuwezi kuwa mwisho wa uhunzi.

Kwa mawazo yako tunafanyaje kwenye rojo tulilomo?
Suluhisho la hili rojo ni wananchi kuamka kudai haki!
Haiwezekani Kikwete ambaye ni sehemu ya tatizo akalitatua tatizo!
 
Mkuu, huyu naye ni chura kiziwi ambaye anajali maslahi yake binafsi na ya familia yake binafsi. Kumbuka huyu ndiye Rais mstaafu pekee ambaye ana mke ambaye ni mbunge wa Bunge la JMT na mwanaye ambaye pia ni waziri katika serikali iliyopo madarakani.

Ni Rais Mstaafu ambaye ni mstaafu ambaye bado hajastaafu. Ni Rais kivuli aliyepo bado madarakani. Safu zote za kiulinzi, kiusalama, na za kiutawala, yeye ndiye ambaye ni muhusika mkuu wa kuzipanga., kutokana ushawishi wake ndani ya serikali na chama chake.
Nimefurahishwa na uchambuzi wako
 
CHADEMA wasahaulifu sana

Hakuna Raisi aliyewahi tukanwa na kudhalilishwa na CHADEMA kama Kikwete kipindi cha utawala wake

Walimtukana hasa .Mleta mada mwacheni apumzike auguze majeraha ya matusi na fitina mlizomfanyia nyie CHADEMA kipindi cha utawala wake .Watu wakafa maelfu mahospitalini kwa migomo mliyohamssisha CHADEMA madaktari wagome.Msidhani tumesahau

Katika watu ambao wanauguza majeraha ya CHADEMA kwa sasa ni Kikwete na Mbowe
Waendelee kunyamaza tu

Kila mtu apambane na hali yake
 
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:

Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi.

Mheshimiwa Kikwette unayo nafasi yako adimu sana, kwenye kusawazisha mambo hapa. Wazee Warioba na Butiku wamesikika. Sauti yako faraghani na hadharani inatakikana sasa labda kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.

Hebu uvunje ukimya wako na hii nchi ikapone.

Ukichagua kukaa kimya wewe kama rais mstaafu utakuwa na faida ipi kwenye nchi hii kama tuendako, ni dhahiri kutahatibika?

Kwamba waje watu kutoka kuja kusuluhisha nini wakati ungalipo hai na ukiywpata marupurupu yote kama rais mstaafu?

Pia soma: #COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini

Ilipokuwa lazima kukuitisha na wenzako mapema mno kabla ya hatari. Hudhani kuwa hata hapo yawezekana tulichelea mwana kulea?

Pia soma: Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Kwako Mheshimiwa sana Rais Kikwette.

Ninawasilisha.
🙏🙏🙏.
 
Kikwete huyu huyu au mwingine?
Hayo marupurupu ya Rais mstaafu ni ya nini au ni bakshishi ama ni rushwa ile?
Kusingelikuwa na uwajibikaji wa marais wastaafu kwanini wasilipwe pensheni kama staff wengine wastaafu wa serikali?
 
Maybe anapata zaidi ya hayo marupurupu
 
Mkuu, huyu naye ni chura kiziwi ambaye anajali maslahi yake binafsi na ya familia yake binafsi. Kumbuka huyu ndiye Rais mstaafu pekee ambaye ana mke ambaye ni mbunge wa Bunge la JMT na mwanaye ambaye pia ni waziri katika serikali iliyopo madarakani.

Ni Rais Mstaafu ambaye ni mstaafu ambaye bado hajastaafu. Ni Rais kivuli aliyepo bado madarakani. Safu zote za kiulinzi, kiusalama, na za kiutawala, yeye ndiye ambaye ni muhusika mkuu wa kuzipanga., kutokana ushawishi wake ndani ya serikali na chama chake.

Mkuu hayupo asiyejua ndiye muasisi wa hii dream hapa:

GGF0_1lWsAAoM5D.jpeg

Lakini ndugu bila ku m tenganisha chura mwenyewe na wale wengine:

Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Miye siyo nabii, ila nilipowaandikia ile ya wakati wa corona jiwe, Lupaso, Ruksa walikuwapo. Baada ya hapo inahitaji kwenda shule kujua kilichofuata?

Siyo CCM wote wanafurahishwa na yaliyopo.

Chikwette ni mtu pekee aliyepo kumfunga chura kengele hata kama yeye ni chura Kwa mustakabala mwema kutokea tulipo.
 
Back
Top Bottom