Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Shikamoo mzee Lipumba, baada ya salamu mimi ni mzima kabisa wa afya.
Sidhani Kama wewe u mzima, maana nahisi pengine unaweza kuwa na presha kutokana na ujasiri wako unaotaka kujaribu kuwahadaa watanzania kuwa una uchungu Sana na CUF.
Mzee Lipumba, nataka nikueleze kuwa, watanzania wa sasa siyo wa miaka ya 1970 na 1980 enzi hizo wewe ukiwa kijana.
Siyo watanzania wa kuambiwa "zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM "na kisha wote wakasema zidumu.
Mzee Lipumba, ukitaka kumtawala mtu kiurahisi Sana, wala usimnyime chakula, ukimnyima chakula hatakubali kufa njaa, atapigana hadi apate chakula ili aokoe uhai wake.
Dawa ya kumtawala mtu ni ndogo Sana, mnyime Elimu tu awe kilaza, hapo utamtawala na kumgeuza Kama chapati Kwa kadri uwezavyo.
Mzee Lipumba, watanzania wengi hatujasoma ila tunajua fika kuwa wewe unatumika ili kuvuruga uchaguzi mkuu wa 2020.
Dhambi unayoitenda ni mbaya Sana, and you will pay the price.
Ukikubali kutumika, pia ukubali kutupwa jalalani,because you will be useless and only deserve to be rubbish.
Hakuna mtu aliyekulazimisha kujiuzulu, uliondoka Kwa mapenzi yako mwenyewe, leo baba umesahau nini tena CUF?
Mchezo unaoendelea tunaujua A to Z, usione watu ni wajinga wamekaa kimya, they know each and everything that's taking place.
Mwaka 2010 ukiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mkoani Tanga, uliwaomba wananchi wamchague Kikwete, bila aibu ilihali wewe ni mpinzani.
Kama una hofu ya Mungu na huwa unafunga mwezi wa toba wa Ramadhani Siku 30,Nakuomba uache Hizo fujo, rudi kwenye kazi yako ya awali, maana unazidi kudhalilika kila uchao.
Dhambi ya kutumika ilimtokea puani huyu jamaa kwenye picha hapa chini.
Muogope Mungu wewe mzee.