gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
It's interesting to know that there are people like you who have this amazing view of life!!
kwani wewe ulifiiri vipi mpendwa? to me maisha hayako bias kwamba yatampatia mahtaj muhimu mtu fulan kama vile hewa, ardhi ya kukanyaga,maji nk halafu yakamyima mtu fulani ambaye yaale matamanio ya kibinadamu hana. sijawah kuskia eti labda gari hii imetengenezwa ili iendeshwe na walioolewa ama waliooa tu.
so life iko fair sana ila tu n kwamba kuna muda moyo hutamani kuona uko na mtu anakujali lkn kama huna utaendelea kuumia kwa hilo ama kuendeleza maisha?