Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Ukiacha swala la Lissu kuwa ndio anaetakiwa kuwa addressed kwenye hiyo barua pamoja na kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi, kingine cha kujiuliza ni nani kati ya Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama anaestahili kuwa addresed kwenye barua zinazopelekwa kwenye chama.
Je,ni Mwenyekiti au Katibu?
Na je,wito wa Polisi huwa ni jambo la siri?
Kama ni jambo la siri ,Lissu angekuwa majinga kiasi gani mpaka asambaze document hiyo yenye muhuri wa siri mitandaoni ili hali sheria ya mitandao inakataza?
Naamini Lissu ameshagundua udhaifu fulani kwenye hiyo barua na ndio maana kaamua hata kuisambaza barua hiyo mitandaoni licha ya kugongwa muhuri wa siri.
Time will tell