Barua ya pole kwa mzee Sumaye

Barua ya pole kwa mzee Sumaye

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,448
Salaam nyingi
Mzee wangu kwa niaba ya wanyonge wenzangu nakupa pole kwa yote yanayokukuta tangu uhame chama cha kidhalimu na kuingia chama cha wanyonge,yamekukuta mengi mzee kunyang'anywa mashamba bila kufuata taratibu duh ni unyama ulioje kwa serikali dhidi ya raia wake,

Pamoja na yote mzee wangu labda nikuulize lile shamba wewe hukudhulumu maana muosha nae huoshwa sasa kama wewe ulichukua kibabe kwa kujisainia hati mwenyewe ni kosa najua wewe sheria ya ardhi unaijua ni mali ya serikali hivyo wameamua kuchukua kilicho chao

Nakumbuka yale maneno yako ukitaka mambo yako yakunyokee weka bendera ya CCM najua ulipitiwa,mzee kipindi cha utawala wako watu walilia na kusaga meno kwa kudhulumiwa mashamba na viwanja na nyinyi mlitoa matamko mazito kisa tu waliofanya uovu ni washirika wenu na nyinyi wenyewe

Nakumbuka kuna ndugu yangu alipoteza maisha Bulyanhulu ni kipindi cha uongozi wako lakini hukuchukua hatua na wale walidhulumiwa,labda nikuulize mkuu wewe ukiwa ni kiongozi mkuu wa serikali ulipataje ardhi yote ile bila ya dhuluma pole mzee wacha wachukue vyao

Mzee wangu hivi lile shirika la ndege ilikuaje,nikupe angalizo tu ukiingia pale ofisi kwetu omba kumbukumbu ya hotuba za nyuma tuliahidi tukichukua nchi cha kwanza ni kuwang'anya ardhi mafisadi wote wa CCM.

Mzee mbona umekuwa muoga wa sindano namna hii mwenzio Lowassa anagugumia kiutu uzima.

Kumbuka atakayeua kwa upanga nae atauawa kwa upanga.

Pole mzee
 
Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.565291

Nenda ukamuulize huyo huyo Sumaye atakupa jibu.

Sumaye anasema kwenye hii video kuwa utawala wa Mkapa ulikuwa wa uwazi na ukweli.

Mkuu huu siyo ushauri Bali majungu ! Hivi huko maskuli mlienda kusoma ujinga ?
 
Ukishakuwa chadema unakuwa kibogoyo tu, kama utaendelea kuwa na meno basi kazi yake ni kung'ata harakati za serikali kujenga uchumi wa nchi
 
Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.565291
Ukizungumzia nyumba,huyu sumaye nae hawazi kuchomoka.

Kafanya mambo nengi sana huyu Mzee anaeyaamini yeye kama yeye.
 
Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.565291
Siyo mbaya kuanza na makengeza!
 
Kama wanachukua na kwa wana ccm sawa Ila kama ni hawa tu na huyu tu haina maana sana
 
Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.565291
mmmh..something wrong
 
Back
Top Bottom