hii barua inanikumbusha mbali sana.nilimuandikia mwanafunzi wa kike akaipeleka kwa mwalimu ikasomwa mbele ya wanafunzi baada ya kengere kugongwa.baada ya kusomwa nikapigwa viboko sita.nakumbuka nilikua nmevaa kaptula ya blue.na ndani nlikua sijajaradia wala nini.duh! ni noma sana.mia