Vodka
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 906
- 96
Binti: Hello baba
Baba: Sema binti yangu..
Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani, nimeamua nitoroke nikaolewe nae.
Baba: ------- kweli wewe unadhani nitashtuka tena utanipunguzia matumizi, safari njema na nisione tena sura yako hapa.
Binti: Samahani baba nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama
Baba: Umesema????