Barua ya kazi & CV

braity

JF-Expert Member
May 24, 2020
354
442
Habari wanajamvi. Samahani kwa kuwasumbua. Naomba nipate kushare dukuduku langu kuhusiana na barua za maombi ya Kazi pamoja na CV kwa waliowahi kuomba kazi.

Endapo unatakiwa kutuma maombi ya kazi je kuna ulazima Ukishaandika Cv yako uambatanishe na vyeti vya kitaaluma au vyeti vya kitaaluma vitahitajika kipindi cha interview ukibahatika kuchaguliwa?

Ninaomba mwongozo wenu
 
Yap....ni vizuriii ukaweka na copy ya vyetiii....
 
Back
Top Bottom