Barua niliyopewa na TSD

Barua niliyopewa na TSD

TSD WAMENIPA BARUA YA
KUNIPANDISHA DARAJA KWA MUJIBU WA ELIMU YANGU YA DEGREE MOJA YA ELIMU
TGTS D. AFISA UTUMISHI AKAIPITSHA. LEO NAFIKA OFISI ZA TSD WANANIPA HIYO
BARUA NIKAMPE AFISA UTUMISHI HUYOHUYO AREKEBISHE MSHAHARA ANADAI HAKUNA
IKAMA YA KUPANDISHA MADARAJA ALIPITIWA AKAISAIN, JEE TSD WANAAMUA BILA
KUSHIRIKISHA MAAFISA UTUMISHI? Au wanampangogani? Au ndo tukatafute
ajira kwingine?

katafuteni kwingine
 
Tsd wanachofanya ni kubadili muundo wa utumishi mfano kutoka afisa msaidizi kuwa afisa kamili
suala la Mshahara ni la mwajiri mwenyewe hivyo walichokuambia ni sahihi.
 
Poa 2naweka mambo sawa. Ila kada ya Elimu tuna nyanyaswa xna. Ingekuwa hakimu au mjeshi fasta wana mpa haki yake.
 
Poa 2naweka mambo sawa. Ila kada ya Elimu tuna nyanyaswa xna. Ingekuwa hakimu au mjeshi fasta wana mpa haki yake.

kama ndio ualimu huu wa muandiko huu tumekwisha.....
ualimu ni wito jaribu kujitambua
 
Back
Top Bottom