Barua kwako Spika Job Ndugai

Barua kwako Spika Job Ndugai

Ulichosahau tu ni kuwa utawala wa sheria awamu ya tano umefungiwa kabatini. Pakiwa na maslahi yao wakubwa hutumia sheria, na wakiona sheria ni kikwazo kupata mashahi huiweka pembeni na kwenda kwa matamko. Hiyo ndiyo awamu ya tamo ikiongozwa na jiwe...
A Country is Not a Company
 
Mimi bado nasubiri kusoma comments za Lissu, maana naona waleta mada wote wanaogopa kumtaja starling wa hii move wakati wanamjua.

Acheni kuuzunguka ukweli na kuzitupa lawama kwa Spika wakati mbeba lawama anafahamika.

NB:
Ata mimi naogopa kumtaja hivyo msiniulize
 
Haingii akilini kwa nijuavyo Mimi Speaker afanye maazi magumu haya bila Rais kuridhia au kujua. Zile tilioni zilizopigwa ndo matokeo take hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania nzima INA professor mmoja tu, Prof Assad. Wengine wote ni miyeyusho
Yupo na Prof Shivji,na Yule Dr Malecela,wengine wote ni mazwazwa!
Spika Ndugai,ni kioja kwa nchi,ni hasara tupu kwa Taifa.Ingekuwa kwa wenzetu,huyu atakiwi hata kuongoza ofisi ya Mwenyekiti wa kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haingii akilini kwa nijuavyo Mimi Speaker afanye maazi magumu haya bila Rais kuridhia au kujua. Zile tilioni zilizopigwa ndo matokeo take hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ajue asijue; wote wawili hawana nguvu ya kikatiba/kisheria kufanya yanayofanywa sasa. Sasa Tanzania imejipa hadhi ya SHAMBA LA WANYAMA lile la George Orwell wa mwaka 1945
 
Back
Top Bottom