pole sana brother Eric wa mahadith na udaku ila ndio maisha.....
baada ya kukupa pole naomba nikukumbushe yafuatayo kisha ujue kuwa unayopitia ni haki yako kupitia maana adhabu za mnafiki huanzia dunian na nahsi zimeanza na ww unasitahili adhab hiyo ya mali zako kupigwa mnada na mengineyo,pitia haya
1.kwa kupitia magezeti yako umewapa machungu wengi sana,umehalibia watu sifa zao mtaani,umevunja ndoa nyingi,umevuluga mahusiano kibao!!UNAYOPITIA NI MADOGO KULIKO ULIYOWAPA WENZAKO
2.kwa magazeti yako ya udaku ulikipa chama nafasi kubwa sana na ukagandamiza upande wa pili leo umetendwa unakuja upande wa pili wakusaidie kuwasumbua uliowabeba!SIASA HAINA RAFIKI WA KUDUMU
3.Brother hadithi zako baadhi huwa unahusi watu kuwa wavumilivu na kutunza siri,sasa kama ww ni kijana wa chama imekuaje uje kukianika chama hapa?ww ni mnafiki na hata maji uliyopewa na muweka hadhina hukupaswa kupewa
4.kwa magazeti yako ya udaku ulishabikia san kulush hbr za wenzako pale dhamana zao zilipotakiwa kuuzwa mfano kipindi mali za mh wa ma song ya ccm zilipotakiwa kupigwa mnada!sasa yamekufika na ww unalia so ulidhan wale ulowafedhehesha wana mioyo ya chuma!brother hayo ni malipizi yako
5.kwa semina zako unahusia watu kutokata tamaa mapema sasa mbn ww inaonyesha umekata tamaa mapema afu jumla yani hadi inafikia unalia mbele ya wafanyakaz na mkeo?kwel mganga hajigangi!
6.unakumbuka magazeti yako yalivyotumika 2007 juu ya marehem ammy chfupa?,malipo dunian
NB:Yanayokukuta iwe fundisho kwa wengine kuwa hii dunia kila ufanyalo malipo hapahapa duniani.
KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA KUSOMA NAMBA BROTHER.