Barua kwa mpenzi enzi hizoooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua kwa mpenzi enzi hizoooo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 12, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Enzi zetu zile nakumbuka 1994 nilikuwa form II sasa leo nimekutana na hii barua niliyoaandika kwa mpenzi muone jinsi tulivyokuwa tunatongoza kwa shida sana maana hakukuwa na Simu wala mitandao.

  Na enzi zile demu akikukubali anakukubali kwa mapenzi hasa sio leo hii unajua hata kutongoza sijui maana ukimtaka demu ni kama kusukuma mlevi wa gongo kwenye mteremko.

  Pia enzi zile ukiaachana na demu anakurudishia kila kitu chako (picha, card, barua na zawadi zingine ulizommpa) na barua hii ni miongoni mwa nilizowahi kurudishiwa baada ya kumpiga chini demu wangu wa kwanza nikiwa form II...

  [​IMG]

  Je wewe wakumbuka barua ya mapenzi uliyoandika au andikiwa kwa/na mahabuba wako enzi hizoooo??? Share with us here...........
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dah hii kitu imeisharudiwa sana leo ni kama mara ya nne au tano hivi
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  maneno mengine ya kwenye barua mfano nikinywa maji nakuona kwenye glass hahaha enzi hizooooo
   
 4. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mhmmmm! nilisoma katika FaceBook moja hii barua, nilicheka sana
   
Loading...