kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU itakutokea tena muda si mrefu.
dhumuni la barua yangu hii mheshimiwa ni kutaka kukueleza kuwa jipange mwaka 2015 ninakuja kupambana na wewe hukoo monduli, ni kweli unajua kuhadaa na ahadi kedekede ndugu yangu, ni kweli unajua kutumia wamasai ambao walikuwa hawana elimu kukupigia kura ila mwisho ni 2015 nitatangaza nia ya kukupinga zama za kupita bila kupingwa au kupita kirais zimekwisha jiandae kaka nimekulia monduli nimesoma monduli na nitawakomboa wana monduli..... najua nitakuwa na challenge nyingi sana ila mungu ndie atakaenisaidia na wananchi wataamua siku zote naamini inawezekana
wabongo bwana,umeona monduli ndo chaka la kwenda kuombea ubunge kisa umesomea huko.ka kwambia nani kuwa watu wa monduli wana shida na ka elimu kako.watu wa monduli wanachohitaji mtu safi,siasa safi na mpenda maendeleo.badala ya kusema ume au utawafanyia nini watu wa monduli unaleta porojo za elimu!
mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo na nilikuwepo arumeru na ninaamini nitashinda kwa kishindo sababu n mkazi wa monduli na nina nia ya kukomboa taifa letu sina msamaha na mafisadi na cv yangu inaniruhusu kufanya hivyo na mungu ndie tumaini langu siku zote
Nafasi yake ya Ubaba mkwe unampa nani?arumeru alienda kama ambavyo mwanaccm yeyote ambavyo angeweza kwenda huko.
Lowassa atagombea urais 2015 kwa tiketi ya CCM. Ubunge hagombei.
kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU itakutokea tena muda si mrefu.
dhumuni la barua yangu hii mheshimiwa ni kutaka kukueleza kuwa jipange mwaka 2015 ninakuja kupambana na wewe hukoo monduli, ni kweli unajua kuhadaa na ahadi kedekede ndugu yangu, ni kweli unajua kutumia wamasai ambao walikuwa hawana elimu kukupigia kura ila mwisho ni 2015 nitatangaza nia ya kukupinga zama za kupita bila kupingwa au kupita kirais zimekwisha jiandae kaka nimekulia monduli nimesoma monduli na nitawakomboa wana monduli..... najua nitakuwa na challenge nyingi sana ila mungu ndie atakaenisaidia na wananchi wataamua siku zote naamini inawezekana
arumeru alienda kama ambavyo mwanaccm yeyote ambavyo angeweza kwenda huko.
Wabongo bwana,umeona Monduli ndo chaka la kwenda kuombea Ubunge kisa umesomea huko.Ka kwambia nani kuwa watu wa Monduli wana shida na ka elimu kako.Watu wa Monduli wanachohitaji Mtu safi,Siasa safi na mpenda maendeleo.Badala ya kusema ume au utawafanyia nini watu wa Monduli unaleta porojo za elimu!