Barua kwa Jenerali Devi's Mwamunyange (JWTZ)

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Kwako jenerali mwamunyange :

Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!
Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!

Hongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!

Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!
Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!
Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!
Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!

Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).
Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!

Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!

Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!! Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!

Wanajeshi wazunguke mipaka yetu waweke ulinzi wa hali ya juu kwenye mipaka yetu kwani inawezekana pia kuna mipango miovu inaweza sukwa kwa ajiri ya kuwabambikiza kesi RAIA na viongozi wa vyama vya siasa kuwa wanaleta fujo na ugaidi na kuja kusababisha kufutwa kwa chama Fulani!!!

Ni hayo tu kwa Leo natamani barua hii ikufikie wewe mwenyewe uisome lakini ninachojua kuna wanajeshi wa kutosha huku jamii forumu watakufikishia ujumbe huu!!

Amani ya nchi yetu iko mikononi mwa jeshi lako !!
 
Kwako jenerali mwamunyange :

Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!

Ongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!

Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!

Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!

Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!

Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!

Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).

Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!

Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!

Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!!
Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!

Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
 
Mimi napita tu...
Ila naomba barua ifike
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na nagalia maisha yako zaidi!!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
Acha mikwala wewe Mimi naishi Tanzania na naipenda nchi yangu !!
 
Kama nilivyoandika kwamba sijakutisha ila nimekwambia tu kwamba hii ni Afrika na usitafute shida ambayo haipo, mambo ya Jeshi TZ / Afrika siyo ya kuyaingilia na ndiyo maana unaona hata wao wako kimya hivyo nimekupa tu ushauri, hata akina fisadi lowasa, mbowe, tundu lisu hawasemi chochote kuhusu Jeshi letu au unafikiri wao hawana cha kusema kuhusu JWTZ?
Hivyo nimekupa tu ushauri kuwa mwangalifu hizi ni siasa tu!
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
Mkuu imekupahasira Sana, maoni yake tu, Sijui Kama yamekuumiza Sana Mpaka utoe ya Moyoni. Hii Ndo democracy mkuu
 
Ndiyo ni demokrasia na ndiyo maana nikasema hapa ni Afrika/TZ na siyo USA/Ulaya, mambo mengine ni kuyaacha tu kwa maana mwisho wa siku hizi ni siasa tu na hamna haja ya kujiletea matatizo bila ya sababu, ninafahamu watu waliopata matatizo, ndiyo maana nikamuonya!
 
Mkuu moyo wako ni wakiungwana asilimia 100%. Watu wanaoleta mabadiliko tofauti na moyo wako. Ndo maana Kuna Haki ya kuelezea fikra zako hapa Africa especially Tanzania.
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
Acha unafiki .
 
Ndugu yangu Mwamunyange hana mamlaka ya kuwaambia Polisi wasiingie kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji

Wapo wenye mamlaka hayo akiwepo Amiri jeshi mkuu

Mwamnyange atingilia pale mtakapo pasuana na ikitokea walio pewa wajibu huo wa kulinda raia wameshindwa kazi yao

Hapa unamuonea bure Mwamunyange

Ila kwenye briefing zao ikiwa ni pamoja na IGP,Mkuu wa Usalama wa Taifa nk wanaweza kumshauri raisi
 
Mkuu barua yako imeeleweka sana... Nadhan andaa hard copy alaf nijulishe pm nitaipeleka.
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
Huu utakuwa mwandiko wa Dj
 
N

Barbosa Huna maana
 
Inaonesha barua ya JWTZ imekuchoma! Pole sana.
 
Hayo ni maoni yake tu. Hajatusi wala hakuna lugha ya uchochezi. Hii tabia ya kufanya serikali ndio njia ya kutishia watu mnatoa wapi?
 
Back
Top Bottom