Barua Kwa Freeman Mbowe

wewe jmushi post zako nyingi humu ni za kumponda zuberi zitto,tunajua ni kwa sababu si mchaga na wala hatoki kaskazini na mbaya zaidi ni hilo jina lake.angeitwa yohana wala usingemsakama.

You sound very familiar,rudi tu kwenye id yako.Kama mnataka Zitto agombee kwasababu ni muislam ama kwakuwa si mchagga,basi huo ndo ubaguzi,na ndiyo sababu tulimpata JK kama rais,ni hiyo kete.
Viongozi wachaguliwe kwa merits za utanzania ni si vinginevyo kama hizi za kuweka watu madarakani bila kujali atatufanyia nini ama atalifanyia nini taifa.
 
Huyu jamaa aleleta huu uzi anajiita honorable,nani kamwambia kuwa yeye ni honorable?kazi kujikweza wakati hata majirani zako hawakujui na tabia yako mbaya
 

Out of context!
 

merit zipi ambazo zitto na waislam wengine walioko chadema hawana ambazo nyi mnazitaka
 
Wakisimama kuomba kura mbowe na slaa nampa mbowe kwani ndio aliekifikisha chama hapo kilipo hivi sasa.
 
Wakisimama kuomba kura mbowe na slaa nampa mbowe kwani ndio aliekifikisha chama hapo kilipo hivi sasa chini ya uenyekiti wake imara
 
merit zipi ambazo zitto na waislam wengine walioko chadema hawana ambazo nyi mnazitaka
Kwa mfano hashirikiani na wenzake kwenye ujenzi wa chama,yeye anajijenga yeye binafsi.Hiyo siyo merit ya kiuongozi wa watu wa Tanzania.Its about the people first.Na si eti kujitenga ili ionekane anabaguliwa.Kama kweli anaamini ni chama cha kikristo,what is he doing?

Nimeshatoa ushauri kwa chadema,wasije tu wakawa na Salim A Salim wao ambaye na yeye atabaguliwa kama alivyofanya JK kumbagua.Haifai kupata madaraka kwa njia kama hizi zenye kuleta migawanyiko.Hili ni taifa moja na adui ni ccm na ufisadi.Tupate kiongozi mwenye kuupinga kiukweli.Na si wenye kusympathise na mafisadi maybe tu kwasababu ni watu wa dini yako.Huo ndo udini na ufisadi mbaya zaidi unaoendelea kutukwamisha tusipate maendeleo.
 
Hahahaaa, mlisema sana humu kwenye Jukwaa eti mwisho wa CCM ni 2010 au mmeanza kusahau? Padri muasi akasema hakuna kura itakayoibiwa ,later mkaanza kusema kura zenu zimeibiwa Mabalozi wa EU wanaowakilisha nchi zao wakawataka mpeleke ushahidi wa wizi wa kura mkapeleka nakala za kipeperushi chenu cha kampeni MWANA HALISI kikionesha tofauti ya kura kwenye kata 3 eti ndo yabadilishe matokeo ya Urais,mkadai matokeo ya Urais hamyakubali ila ya ubunge mnayakubali sasa hiyo serikal mngeundaje mkiwa na wabunge 12.5%? Mabalozi wakatambua kuwa wanajadiliana na wajasiriamali wa kisiasa, jipangeni kukataa matokeo 2015 tuliwaeleza hivyo mkatutaka tusubiri October 2010 sijui bado haijafika?
 
hayo marumbano ya nani atagombea urais 2015 waachieni magamba waumizane kwa makundi, sisi cdm yetu demokrasia bana. nguvu zetu kwa sasa tumeelekeza kwenye M4C na sio nani atagombea eboooo
 
hayo marumbano ya nani atagombea urais 2015 waachieni magamba waumizane kwa makundi, sisi cdm yetu demokrasia bana. nguvu zetu kwa sasa tumeelekeza kwenye M4C na sio nani atagombea eboooo
 
Huyu jamaa aleleta huu uzi anajiita honorable,nani kamwambia kuwa yeye ni honorable?kazi kujikweza wakati hata majirani zako hawakujui na tabia yako mbaya

t2015ccm WEWE BADO MDOGO HUMU ACHA KELELE UJIFUNZE KWANZA
 
Wakisimama kuomba kura mbowe na slaa nampa mbowe kwani ndio aliekifikisha chama hapo kilipo hivi sasa chini ya uenyekiti wake imara

Usitufanye watoto wewe,sisi watu wazima na akili zetu usitake kututoa nje ya mada Slaa ndio kila so usitutake kuwafanya watu wachange mawazo yao,najuwa SlaA anawachachafya sana ndio maana hamlali so usituletee pumba zako hapa tuna msimamo na tunajuwa tunachofanya.....kama unampenda Mbowe mchague mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Duuuu. Hakika unataka kutufanya hatuijui Marekani wala UK. Haya, tuambie hawa wataalam wanaojipanga kuja kuisadia Chadema wako kona zipi na wanafanya nini? Hivi umewahi kuhudhuria mikutano ya Chadema Marekani na UK? Kwa ufupi, Tanzania hakuna upinzani, ni njaa tupu. Dr Slaa ni dhaifu kuliko hata huyo Mbowe. Kwa kawaida, Mkatoliki yeyote anaekiuka kiapo cha upadri, huwa kama kichaa tu. mwacheni Mbowe
 
ndio maana kila siku huwa nasema PASCO aidha unatumiwa au hujui ulisemalo na hujui what is the best for your country.come on ,wake up man and be serious. of all the people unamtaja Zitto??? EL mtu wa visasi na ujanja wa mjini kama huyo? sasa naanza kuona kwanini Marekani RAIS wao anapatikana kwa mtindo ule.ZITTO ohh no way!! mtusi awe PRESIDENT!!
 
msimamo gani wa Dr unaoufahamu ambao umekufanya umsapoti Zitto badala yake?
 
TOKA lina kocha wa MANCHESTER UNITED akapanga kikosi cha timu ya manchester city katika mpambano utakao zikutanisha timu zao kwenye mpambano wa kuamua mshindi?? hilo likitoea ujue atachagua wachezaji dhaifu ili ashinde kiurahisi.unampendekeza huyo kwasababu zako unazozijua. acha hizo.
 
Samahani sana. Mh. Mbowe akifanya kosa kwa tamaa za madaraka, basi amekwisha na chama chake pia kimekwisha. Zitto na kundi fulani wanajipanga sana dhidi ya mbowe. yaani kila wiki wana kikao na viongozi wa CCM
je? unaushahidi wowote kuhusu hvyo vikao,usiteke kumchamfua m2 kwakuwa unamchukia,acha unafiki ww,kama unamchukia m2 mchukie kwa manufaa yako sio kutuletea uongo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…