Barua Kwa Freeman Mbowe

Dr. Slaa ndio anakubalika sana pia hata kamanda Mbowe naye pia anafaa lakini the so called Zitto hafai koz ni mwanaCCM original na ni disaster kwa chama na Taifa.
 
CHADEMA hawana mtu wa kumsimamisha kugombea URAISI... labda wawaonge MAJEMEDARI WA CCM...wahamie kwao.. Na hawawezi.
Acha kudaganya umma wewe! CCM mnae nani? Yeyote mnaedhania kuwa mgombe kuna kombora lake la uhakika limetulia linasubri kulipuliwa! Ushauri CCM wamuweke kugombea Dr. Salim Ahmed Salim huyo pekee ndio tunaweza kuwaelewa na ndio alikuwa rais wetu badala ya kikwete na siasa zake za ubaguzi mara ooh Salim ndo alimuua KarumeLeo tusingekuwa hapa kama tungempa urais Dr. Salim!
 
Tumwombe MUNGU lakin wote wanafaa,vile watz wote tunaamin dr ndie rais ajae ataongoza hata miaka 5 tu.
 
CDM zaidi ya ZITTO hakuna kitu, SLAA ana matatizo mengi anayotakiwa kuyatatua kabla ya kufikitia kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kama rais. Siyo siri SLAA kwa sasa ana msongo wa mawazo na ndiyo maana hata Mwenyekiti wake, Mbowe na msaidizi wake, ZITTO wanaona kama kumbebesha mzigo wa urais ni kutotendea haki wanaohusika moja kwa moja na msongo wa mawazo unaomwandama huyu babu.
 
Hizo comments zenu sijui nani zaidi, nani kajenga Chama zaidi kuliko fulani, nani kaleta msisimko zaidi fulani asisimaishwe fulani asimamishwe kugombea URAIS,ni CHILDISH stories! CHADEMA wamefika hapo walipofika kwa COMBINATION na integration ya talents tofauti tofauti ambazo zimekuwa blended pamoja over years....!!

Jueni kila mmoja katika Leadership ya CHADEMA amechangia kitu, ndio maana CHAMA kimetulia na kina grow kwa KASI na kukubalika, japo WASAKA uongozi ndani ya CDM wapo na wanaonekana na MTASIKIA timbwili lao 2015! Ila CDM wakichukua nchi kuna haja ya kuwashughulikia WASALITI! Wanajulikana!
 
Dr. Slaa ndio anakubalika sana pia hata kamanda Mbowe naye pia anafaa lakini the so called Zitto hafai koz ni mwanaCCM original na ni disaster kwa chama na Taifa.

Mbowe mimi naungana na SITTA kuwa anafaa kuendeleza biashara yake ya kumbi za muziki.
 
umeamuwa kujiunga ili uposti hii kitu ama ni just a coincidence,umetokea kujiunga na thread ikaanzishwa?
 
Hicho ndicho watanzania wanaogopa, siasa za visasi, tunaweza kujikuta kwenye dimbwi la umwagaji damu kutokana na uonevu utakaofanywa na CDM kwa kisingizio kuwa wanawashughulikia mafisadi, wasaliti badala ya kuendeleza ujenzi wa nchi. Kwa mawazo hayo ya siasa za fisasi ni wazi naungana na wale wenye mawazo ya kuwa CDM hawana viongozi.
 
Zitto atasema chadema ni ya wakristo ili agombee yeye,same way JK alivyopata madaraka,nimeisema kwa njia nyingine na mod unayefuatilia mabandiko yangu,ifute na hii ukitaka.
 
Unajua watanzania wengi sasa tumeshajua kuwa CDM makombora yao ni kugushi, kwa sababu ya wimbo wao wa kila siku wa ufisadi na raslimali za taifa, huku wakiwa na suluhisho la kizamasani sana juu ya matatizo yao. Hivi sasa bwana ni zama za utandawazi na maendeleo ya sayansi na technology.
 
Zitto atasema chadema ni ya wakristo ili agombee yeye,same way JK alivyopata madaraka,nimeisema kwa njia nyingine na mod unayefuatilia mabandiko yangu,ifute na hii ukitaka.

ZITTO kichwa kaka, issue si dini, bali kishaona siasa za CDM si zenye tija kwa taifa bali zinalenga kuzipa koo fulani umaarufu wa kisiasa.
 
ZITTO kichwa kaka, issue si dini, bali kishaona siasa za CDM si zenye tija kwa taifa bali zinalenga kuzipa koo fulani umaarufu wa kisiasa.
Kama unabisha maneno yangu,subiri uone.Ni muhimu kwa chadema kuendelea kukaribisha viongozi wengine waislam wenye uwezo na nia ya kuongoza.Siyo kunakuwa na mmoja anayekuwa maarufu na kujidai kama ndo musilam pekee kwenye chama.No wonder haya maneno yapo.

Mbowe atachezewa karata ya ukabila na Slaa udini,wote kwa pamoja ukanda,na anayenufaika ni yule aliyetangaza kuutaka urais kabla hata mtu yeyote hajafikiria.Wenzake wanajenga chama,yeye anajijenga at his party's expense.
 
Wakuu maoni yangu ni kwamba,Dr. W. Slaa agombee Urais,Zitto Kabwe agombee U-Makamu wa rais then Mheshima Freeman Mbowe ateuliwe kuwa waziri Mkuu kwa mtazamo wangu naona wote ni viongozi wazuri pamoja na kasoro za kibinadamu walizo nazo,halafu panapo majaliwa 2020 ZZK na Mbowe mmoja wapo anapokea kijiti
 
All in all remain calm for a while. The answer is coming, no one is above others. Remember when the party decided to appoint Dr for the presidential post in 2010, we attempted to say no strong mp will be, isn't?

The time will tell.
 
Naunga mkono hoja..rekebisho moja tu mkuu.asigombee 2020 kwa sababu hawezi kumuingilia kati rais atakayekuwepo madarakani wakati huo,Mhe. Dr. Wilbroad Slaa..ni vizuri akamuacha kwanza amalize mihula yake miwili mpaka hapo 2025..
 
fafanua vizuri.
 
Bado miaka mitatu tuyaone ila chadema hawawezi kushinda urais hata kama wamsimamishe mtu kutoka mwezini
 
Naunga mkono hoja..rekebisho moja tu mkuu.asigombee 2020 kwa sababu hawezi kumuingilia kati rais atakayekuwepo madarakani wakati huo,Mhe. Dr. Wilbroad Slaa..ni vizuri akamuacha kwanza amalize mihula yake miwili mpaka hapo 2025..

acheni kudanganyana nyi.mzinifu aliepora mke wa mtu na kutelekeza familia hawezi kupewa nchi.watanzania ni watu makini sana
 
ona mlivo wabaguzi,kwa hiyo zanzibar sio sehemu ya tanzania.
 
Zitto atasema chadema ni ya wakristo ili agombee yeye,same way JK alivyopata madaraka,nimeisema kwa njia nyingine na mod unayefuatilia mabandiko yangu,ifute na hii ukitaka.

wewe jmushi post zako nyingi humu ni za kumponda zuberi zitto,tunajua ni kwa sababu si mchaga na wala hatoki kaskazini na mbaya zaidi ni hilo jina lake.angeitwa yohana wala usingemsakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…