Barua Kwa FIFA

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app 🤣

View attachment 3440304
Tecno KG5j ni jina la model ya Tecno Spark 7 au toleo lake la karibu. Hii ni simu ya entry-level (bei nafuu) inayolenga watumiaji wa kawaida.

Sifa za Tecno KG5j (Spark 7):
  • Display: 6.5" IPS LCD, HD+ resolution
  • Processor: MediaTek Helio A25
  • RAM: 2GB / 3GB / 4GB
  • Storage: 32GB / 64GB
  • Camera ya Nyuma: 16MP AI Dual Camera
  • Camera ya Mbele: 8MP
  • Battery: 6000mAh
  • OS: Android 11 (Go Edition)

Inafaa kwa:
  • Kutumia apps za kawaida (WhatsApp, Facebook, YouTube)
  • Kutazama video
  • Battery ya kudumu muda mrefu

Haifai sana kwa:
  • Gaming nzito
  • Video editing ya kiwango cha juu
  • Multitasking nzito

Kwa kifupi, Tecno KG5j ni simu ya kawaida, nzuri kwa matumizi ya kila siku kwa mtu asiyehitaji matumizi makubwa ya nguvu ya simu.
 
Watu wa Simba SC wanahangaika Sana tena Sana
 
Kwamba wenye TECNO hawatakiwi kutoa mawazo tofauti na sisi?

Mwenye kuandika barua anahaki ya kuiandikia barua FIFA ila mashabiki wa uzi tusiwe very low kudhani mawazo yetu ndiyo sahihi tu. Mnatufanya watumia TECNO tusitoe maoni binafsi....
Hoja ni kwamba setting za app ya JF zina identify mpaka aina ya Simu yake 🤣
 
Ushahidi huu hapa
 
Absolutely

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…