Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,886
- 155,869
Barua inazua maswali mengi kama vile kifo cha sokoine. Je ni kweli huyu jamaa ni mwalim anafundisha shule gani na anuani yake kamili ni ipi. Acheni kutudhalilisha walimu kwa kutunga visa na majina ya uongo.Hata hivyo haya ni matatizo ya walimu wa mjini wa voda fasta wenye tamaa ya kuingia kazini na kununua magari kwa mshahara wa walimu. Kalalamikie chama cha walimu ambacho hakimsaidii mwalimu bali kukata makato ya mishahara yetu na kuwekeza katika vitega uchumi. Sisi walimu wa kijijini tunajishughulisha na kilimo, bustani mboga,mboga nk. Tunahitaji kuwa wabunifu siyo kutegemea mshahara kwa mwalimu. Historia haioneshi walimu kulalama ulimwenguni kote kuliwaondolea matatizo binafsi-jitume bwana mdogo badala kulalama-jiendeleze kielimu au tafuta ajira unayofikiri itakulipa...........mawazo kama yako yaliyokufa ni mbolea ya umaskini wetu...........
Mpaka ameandika hivyo nadhani amekata tamaa ameamua liwalo na liwe au ameona heri mmoja afe kwa ajili ya wengine.Hakika maoni yangu tofauti kidogo kwa kuwa ametaja Shule aliko na jina lake hilo hapo Mwl G C Mwambije, msije shangaa mkakuta ameokotwa Mabwepande akiwa hana meno wala kucha.
Mpwa Elli njoo huku uone mateso ya walimu!
Ndiyo maana watoto wetu wanapata sifuri muda mwingi unatumia kulima bustani au unawatuma wanafunzi kulima badala ya kusoma.Barua inazua maswali mengi kama vile kifo cha sokoine. Je ni kweli huyu jamaa ni mwalim anafundisha shule gani na anuani yake kamili ni ipi. Acheni kutudhalilisha walimu kwa kutunga visa na majina ya uongo.Hata hivyo haya ni matatizo ya walimu wa mjini wa voda fasta wenye tamaa ya kuingia kazini na kununua magari kwa mshahara wa walimu. Kalalamikie chama cha walimu ambacho hakimsaidii mwalimu bali kukata makato ya mishahara yetu na kuwekeza katika vitega uchumi. Sisi walimu wa kijijini tunajishughulisha na kilimo, bustani mboga,mboga nk. Tunahitaji kuwa wabunifu siyo kutegemea mshahara kwa mwalimu. Historia haioneshi walimu kulalama ulimwenguni kote kuliwaondolea matatizo binafsi-jitume bwana mdogo badala kulalama-jiendeleze kielimu au tafuta ajira unayofikiri itakulipa.
Barua inazua maswali mengi kama vile kifo cha sokoine. Je ni kweli huyu jamaa ni mwalim anafundisha shule gani na anuani yake kamili ni ipi. Acheni kutudhalilisha walimu kwa kutunga visa na majina ya uongo.Hata hivyo haya ni matatizo ya walimu wa mjini wa voda fasta wenye tamaa ya kuingia kazini na kununua magari kwa mshahara wa walimu. Kalalamikie chama cha walimu ambacho hakimsaidii mwalimu bali kukata makato ya mishahara yetu na kuwekeza katika vitega uchumi. Sisi walimu wa kijijini tunajishughulisha na kilimo, bustani mboga,mboga nk. Tunahitaji kuwa wabunifu siyo kutegemea mshahara kwa mwalimu. Historia haioneshi walimu kulalama ulimwenguni kote kuliwaondolea matatizo binafsi-jitume bwana mdogo badala kulalama-jiendeleze kielimu au tafuta ajira unayofikiri itakulipa.
Mtumishi wa UMMA awe mfanya bihashara!!!!!!!!! si hajabu watu wanafanya bihashara IKULU!.Maisha ni magumu kila mahali hata huku mtaani pia, afadhali ya wewe mwalim ambaye unapata mshahara. Kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii, kufikiria hata biashara ndogo ya kukupatia kipato mbadala tofauti na mshahara. Hata wanaolipwa milioni kumi kwa mwezi haziwatoshi nao wanataka waongezewe. Don over spend, don misuse...be economical
Mpwa wangu, nilishaandika hapa makala moja ngoja niitafute; ok ok hii hapa nimeipata Mpwa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uhuda-nilikimbia-ualimu-kuepuka-matatizo.html yaani ni kwamba kuna tisha huko na kingine hawa wafanyakazi wa Halmashauri wananyodo kupita maelezo...nilifika pale na degree yangu nimepigika miaka minne (enzi zile ni fours - education) halafu nakuta kuanzia mtu wa masijala hadi mlinzi wote ni nyodo kumuona afisa elimu kama vile unamuona Mungu...it pains so much
Bajeti ya Mwl. Mwambije Angalau ilipaswa iwe hivi. | ||
Pango (vyumba 2) | 30,000*2 | 60,000.00 |
Chakula (With reference to 7500 per day as meal allowance for undergraduate student as per Jully 2011) | 7,500*30 | 225,000.00 |
Umeme & Maji | | 30,000.00 |
Mavazi | 60,000.00 | 60,000.00 |
Usafi | 25,000.00 | 25,000.00 |
Relatives(Wazazi, wadogo, michango misiba & harusi (>50000)) | 100,000.00 | 100,000.00 |
Usafiri(Gari 2 kwenda) | 400*2*2*30 | 48,000.00 |
Sadaka (Zaka(10%) +sadaka nyingine+masikini & wahitaji) | | 90,000.00 |
Mawasiliano(Najiunga Yatosha @ siku) | 1,500*30 | 45,000.00 |
Others(Kumbuka ndo Mwambije anaanza kazi, hana kijiko, godoro, sufuria, kigoda n.k) | | 100,000.00 |
TAKE HOME(Take home) | | 783,000.00 |
Huyu mama kuna siku alikuwa anahutubia mabinti wa shule za sekondari akawaambia, 'ukisoma unaweza kuwa daktari, mhandisi, mke wa rais, n.k'.Hivi mama Kikwete naye si alikuwaga ticha wa zamu?
Najua mkulu anaijua vyema mishahara ya waalimu.
Asijisahau sana na kufikiria kila mwalimu atakuwa Rais kama Nyerere au first lady kama mama Kikwete
Kweli kabisa mkuu, waache kuwafanya walimu wa kike pool ya kuchukuwa 'viburudisho' pindi wanapofiwa na wake zao. Mwenyekiti na makamu wa chama fulani hii habari inawahusu.Kweli Serikali inahitajika iwaongezee walimu mishahara maisha yao ni ya kuunga unga sana
Maisha ni magumu kila mahali hata huku mtaani pia, afadhali ya wewe mwalim ambaye unapata mshahara. Kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii, kufikiria hata biashara ndogo ya kukupatia kipato mbadala tofauti na mshahara. Hata wanaolipwa milioni kumi kwa mwezi haziwatoshi nao wanataka waongezewe. Don over spend, don misuse...be economical
Walimu wanaanzisha tuitions
Madaktari wanafungua Zahanati Binafsi...
Wanasheria wanakua Mawakili...
Ma-engineer nao wana firms zao...
Kosa ni ni kwa Polisi nae kuwa na kituo chake cha Polisi? Hakimu awe na Mahakama yake pia.....kama ile story ya Yule Hakimu kule mkoani???
Changamoto kwa Taifa; kila mtu aanzishe business yake kutokana na ujuzi wake.....
CC: zumbemkuu MANI Paloma saudari Invisible Bujibuji et al