Barua kutoka Kijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua kutoka Kijijini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyati, Jun 6, 2012.

 1. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Nimepokea barua hii toka kijijini naomba msaada wa hali na mali kumwezesha DOGO. Nitawatumia namba wale tu waliotayari kusaidia tu siyo wale wanaokebehi

  Barua2.jpg
   

  Attached Files:

 2. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo kawashinda wote kutoka mwisho, tuma no ya Tgo Pesa tumuwezeshe dogo.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Unataka kumsaidia kwa lipi KUOA au KUENDELEA NA SHULE?
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  He,

  mdogo wako kumbe ziro hivyo , sasa nimeelewa kwa nini post zako huwa za ajabu ajabu!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahaahaaaaa....
  Ndo maana alipata division four
   
 6. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Nataka kumwezesha kuoa kwanza kwani ndo option yake huyooooooooooooooo
   
 7. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  We umejiunga juzi tu umenijuaje? Kwa taarifa yako kijijini kwetu sisi ndo Genius!!. Kama umepotea ukiuliza lazima useme ule ukoo wa VIPANGA ndo unaletwa kwetu
   
 8. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Aksante Mkuu nime ku-PM
   
 9. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Huyu bwana ni Kichwa ila yale aliyoyasoma bahati mbaya hayakuwemo katika mtihani alinieleza hivyo kabla hata ya matokeo
   
 10. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Anhaaa, nimeshakumbuka! huyu ndo aliyeandikaja mistari ya bongo fleva kwenye mtihani wa form four mwaka jana. Mi najitolea kumsaidia, pale kinondoni kuna mtaa fulani maarufu kwa kuuza line za TIGO! Aje pale atapata frem yake, free of charge auze line za TIGO hadi mahari atakapotimia ili akaoe.
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hii dunia ina vituko sana, huyu kijana ndo kwanza kamaliza shule na kupata division four, analalamika kuwa wenye divison one wanaendelea na masomo, alitegemea hao wenye div one waachwe achukuliwe yeye mwenye four???

  Anyway back kwenye kuomba mchango, anakimbilia nini kuoa angali hana hata hela ya kuanzia maisha baada ya kuoa? Mke atamtunza vipi? Na ataimudu vipi familia yake?

  Mshauri kama ana nia ya kusoma, arudi shule ku-reseat mitihani yake na kama hana mpango wa shule, atafute shughuli za kufanya kama biashara au mambo ya kilimo. Kwa elimu ya form four, kuna shughuli nyingi tu anaweza kufanya na zikamuungizia kipato badala ya kukimbilia kuoa.

  Binafsi ningeshawishika kumsaidia kama angeniomba mchango wa ada na gharama za kurudi shule au namna ya kuanzisha biashara, vinginevyo nasikitika sintaweza. Anisamehe bure.
   
 12. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180

  Huyu anataka kuendeleza ukoo wetu ndo maana anakimbilia kuoa.
   
 13. conveter

  conveter Senior Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dogo ana mtazamo wa kipekee :majani7:
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wanaakili sana sema wamekosa wa kuwaindeleza!
   
 15. awp

  awp JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wee Nyati kwanini unatuvunja mbavu, sasa hapo anaongezewa pesa au analipiwa mahari yote
   
 16. a

  asumpta Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyo kapendelewa alitakiwa apate division zero.
   
Loading...