Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,340 Reaction score 109,438 Jun 21, 2026 #41 Hii historia tunahitaji kuichunguza upya?
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,336 Reaction score 29,842 Jun 22, 2026 #42 Kokolo said: Huyu ndiye sultan huyu Samia anakumbishia machungu wajomba zake walivyowafanya waafrika. Click to expand... Aje tu aone wapwa zake wanavyotafuna nchi kama kwereakwerea.
Kokolo said: Huyu ndiye sultan huyu Samia anakumbishia machungu wajomba zake walivyowafanya waafrika. Click to expand... Aje tu aone wapwa zake wanavyotafuna nchi kama kwereakwerea.