J Jamuhuri Huru Member Sep 20, 2011 32 8 Sep 20, 2011 #1 Jamani nimepata habari kutoka huko nyumbani kwamba, masaa machache yaliyopita North Mara imeua mtanzania mwingine nini kinaendelea huko? Hivi huo mgodi upo kwenye nchi yenye uongozi?
Jamani nimepata habari kutoka huko nyumbani kwamba, masaa machache yaliyopita North Mara imeua mtanzania mwingine nini kinaendelea huko? Hivi huo mgodi upo kwenye nchi yenye uongozi?
POMPO JF-Expert Member Mar 12, 2011 6,690 2,400 Sep 20, 2011 #2 CCM Itakanusha, watadai ameuwawa kwa isue za kisiasa, INAUMA SANA!