Barrick - North Mara Gold Mine Yaua Mtu Mwingine

Jamuhuri Huru

Member
Sep 20, 2011
32
8
Jamani nimepata habari kutoka huko nyumbani kwamba, masaa machache yaliyopita North Mara imeua mtanzania mwingine nini kinaendelea huko? Hivi huo mgodi upo kwenye nchi yenye uongozi?
 
CCM Itakanusha, watadai ameuwawa kwa isue za kisiasa, INAUMA SANA!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom