M Mwanaharakatihuru JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 477 Reaction score 120 Aug 23, 2012 #81 Kuanzishiwa VAT wanakimbia na bado tutakutana nao the hague kwa kunywesha watu sumu maeneo kuzunguka migodi
Kuanzishiwa VAT wanakimbia na bado tutakutana nao the hague kwa kunywesha watu sumu maeneo kuzunguka migodi
Nsabhi JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 1,093 Reaction score 162 Aug 23, 2012 #82 Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Shekhe Gorogosi Jr said: Hilo ndio neno! Hawa CCM wanatuibia kiuuwazi. Mhongo ni CDM huyooo! Click to expand...
Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Shekhe Gorogosi Jr said: Hilo ndio neno! Hawa CCM wanatuibia kiuuwazi. Mhongo ni CDM huyooo! Click to expand...
M MbangoKW Member Joined Oct 1, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Oct 1, 2013 #83 Tusome ishara za nyakati. Nsabhi said: Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Click to expand... [TABLE="width: 87"] [TR] [TD][/TD] [/TR] [/TABLE]
Tusome ishara za nyakati. Nsabhi said: Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Click to expand... [TABLE="width: 87"] [TR] [TD][/TD] [/TR] [/TABLE]
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,176 Oct 1, 2013 #84 Nsabhi said: Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Click to expand... Tunakumbuka kuvuta shuka wakati kumekucha..Hawakuona haya matatizo ya umeme wakati bei ya gold ilipukuwa inapanda, sasa bei inaanza kushuka ndio matatizo yameanza kuonekana!
Nsabhi said: Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA. Click to expand... Tunakumbuka kuvuta shuka wakati kumekucha..Hawakuona haya matatizo ya umeme wakati bei ya gold ilipukuwa inapanda, sasa bei inaanza kushuka ndio matatizo yameanza kuonekana!