Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Wadau JF, Nina ndugu zangu wawili. wa kwanza ni mwanaume ana miaka thelathini,elimu kidato cha nne na amesomea mambo ya Hoteli na Utalii, specialize kwenye Barman and Waiter,ana uzoefu wa zaidi ya miaka 7 katika hoteli kubwa na ndogo katika maeneo ya Tanga,Arusha,na kwenye hifadhi.Anatafuta kazi katika maeneo hayo japokuwa anaweza kufanya kazi yeyote ana ujuzi wa Kompyuta pia.Wwa pili ni mwanamke ana miaka thelathini na tatu ana elimu ya kidato cha nne,amesomea mambo ya HOTELI na amefanya kazi kwenye hoteli mbalimbali Dar es salaam,Arusha na Singida,ana uzoefu wa zaidi ya miaka sita,amefanya kazi kama Receptionist/Cashier na Waitress,ana ujuzi wa kompyuta pia.Anatafuta kazi inayoendana na taaluma yake.Wote wanaishi Arusha mjini.Ikiwa una nafasi ya kazi au unajua wapi wanaweza kupata kazi.Tafadhali tuwasiliane 0752489529 au mbuyi83@yahoo.com au niPM.Asanteni sana.!