Barison Septic Solutions Co. Ltd

Barison Septic Solutions Co. Ltd

Mr Harrison

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
9
Reaction score
2
BARISON SEPTIC SOLUTIONS CO Ltd, Ni kampuni inayohusika na system za choo ambazo hazijai na haina haja ya kuchimba mashimo makubwa ndani ya Nyumba yako, System inaitwa Bio digester kazi yake kubwa ni kula kinyesi na kubaki maji.

Kuna system zenye ukubwa tofauti. Mita moja duara na mita moja urefu.Tunazo kuanzia mita moja hadi tatu upana urefu unafanana ambayo ni mita moja. Hata eneo likiwa na maji tunafanya kazi kama kawaida.

Kwa maelezo zaidi....
+255 652 762349
+255 755 760592

Email:barisonsepticsolution@gmail.com
Mtaa wa Congo na Lindi k/koo
Dar es salaam.
 

Attachments

  • IMG_20150819_211105.jpg
    IMG_20150819_211105.jpg
    136 KB · Views: 145
Bei zimekaa namna gani kabla ya mtu kuwatafuta..kima cha chini ni kiasi gani na kima cha juu ni kiasi gani
 
Weka Break Down Ya Bei Za Huduma Zenu. Kila Mtu Akipiga Simu Hamtachoka? Sisi Hapa Tunahitaji Kujua Huduma Zinazoambatana Na Bei Zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom